Hivi ni mpuuzi gani aliyewaambia ball boys wa Tanzania kufanya ujinga kama huu wa kurusha mipira miwili miwili uwanjani?

Wakifanya waarabu ni sawa !! Maswahili bwana [emoji848][emoji848]
 

Yes wewe umeongea sio jitu linalaumu tu ata hajui ilo tatizo limeanzia wapi mbona lilitokea uko mpaka leo hatujasikia CAf wala FIFA Wamekemea? Leo hiii na sisi tukipuliza mafatak ma mamoshi tutalosoana wenyewe kua sio vizur ila kwao ni vizur tuache uzuzu jmn
 
waarabu wametufundisha. ila nimeangalia mpira wa uganda na algeria, nimeona uganda wapo mbali sana kimpira hata sijui kwao tuliwafungaje. wanastahili kuwepo nafasi yetu ya pili.
Hilo kundi Uganda anaenda sisi hatuna ubavu wa kumfunga Algeria kwao na Uganda anaenda kuwanyoosha Niger kwao.
 
Ingekua kwa waarabu sawa, hawa Niger kuwaonea.
Na hata hivyo mkisema muige waarabu mtashindwa nyiee,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuko tayari Kwa lolote lakini kuanzia Sasa Unyonge baaaasi.
 
Tatizo ni kuwa waliofanyiwa vile sio Waarabu, wamefanyiwa watu waungwana wasio na hatia wa historia za fitna za aina hiyo.

Vv
Sisi hatuchagui adui mpaka CAF watunge kanuni kuhusu huu ujinga. Kama ni uhuni Acha tuwe Wahuni wote.
 
Uganda Hana uwezo wa kumfunga kirahisi Niger anayetafuta nafasi ya 3 kutunza heshima.
 
Nimefurahi sanaa
Sasa tutaenda hivi hivi ili hapo CAF waone uozo wa waarabu na sisi twendeni hivyo hivyo
 
tujenge timu figisu za kitoto hazitasaidia kitu
 
Mpira tumeanza kuujua, ball boys walifanya vyema kupoteza muda na sijui kwanini baada ya Sisi kufunga Taifa Stars players hawakujiangusha ovyo kama wafanyavyo Waarabu bila aibu, hata mipira tuliwahi sana kurusha Waarabu Huwa wanajikokota kwenda kurusha tuwaige mechi ya mwisho! Leo tumeonewa sana na refa na hakutaka mpira uishe tukiwa mbele, alionesha extra time dkk 3 mpira ukachezwa dkk tisa, Niger walicheza rafu nyingi sana Wala hakuwaonya na faulo aliwapa wao tu.

Hongera sana ball boys CAF waje tu tushashinda na tuko mguu Mmoja Afcon! Mechi ya mwisho itaamua! Big up Taifa Stars Afcon ni yenu tu Uganda wamechapwa kwao na mechi ya mwisho Niger hawatoki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…