Hivi ni mpuuzi gani aliyewaambia ball boys wa Tanzania kufanya ujinga kama huu wa kurusha mipira miwili miwili uwanjani?

Kila mtu ashinde Mechi zake.

Kongole vijana kwa ushirikiano wao ktk kupoteza Muda.

Hivyo mdo Africam Soccer ilivyo. Tusubiri faini ya CAF Tulipe.
 
Tena wanarusha mipira mingi hadi inaonekana kabisa ni makusudi. Mpira mmoja wa ziada unatosha kusimamisha mchezo.

Na huu uhuni ni kwenye vilabu siyo kwenye timu za taifa. Shenzi kabisa.
Nani kaja na sheria kuwa ni kwenye vilabu tu. Kama CAF hawawezi kuukemea uhuni huu acha pachafuke.
 
Ingekua kwa waarabu sawa, hawa Niger kuwaonea.
Na hata hivyo mkisema muige waarabu mtashindwa nyiee,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona Misri walimulikwa wa Wasenegali wakaanza kulialia. Jino kwa jino. Ukichekea watu watakufanya kama Mangungo.
 

Message sent kwa Nani wakati Niger wanaweza kuwaachia Uganda wabunge goli nane ili kuwakomoa taifa stars.
 
Uhuni wafanye waarabu, halafu wewe uhuni umfanyie ngozi nyeusi mwenzako. Kwanini usimfanyie mwarabu.
 
Niger aliifanyia Tanzania huruma lini?. Ufanyiwe hujuma na waarabu ulipize kwa ngozi nyeusi mwenzako. Huo ndio ujinga.
 
Umechukizwa kwa hawa wa kwenu ila ungefanikiwa kuangalia Yanga walivyofanyiwa kule kwa waarabu and the same B.B sijui unasemaje?.
Mimi nashangaa uhuni kafanya mwarabu, malipizi anafanyiwa asiyehusika. Kweli watanzania Nani alituroga. Ulishindwa kumfanyia uhuni Algeria ndio ukamfanyie uhuni Niger ambaye sio mwarabu.
 
tff hao... km FAT
Wapumbavu wale. Wenzao wanaifanyia michezo ile wako trained. Mipira unarusha pale ambapo mpira umetoka pembeni unahitajika kurushwa au goal kick.

Lakini hawa wajinga hujirushia tu hata kama mpira uko uwanjani katikati unaendelea. Hawajui kama wanaweza kuigharimu timu.
 
Sidhani Kama ni mbinu sahihi katika mpira wetu wakati tuna kikosi kibovu Cha timu ya Taifa (taifa stars).

Ovyo kabisa.
Kikosi Bora Kiko wapi? Nadhani unachanganya style ya uchezaji na quality ya wachezaji.Tunaowachezaji wazuri sana kwa sasa.Kilichokosekana na Jana kiungo ambaye ni playmaker na pia tulikua na viungo wachache sana uwanjani.
 
Acha iwe ivyo ili Caf waanze kushugulikia, ikishamiri wataona kero watachukua hatua ili na wa kaskazini waache izo mambo za kihuni.
Hatua ni kupingwa faini kwa TFF. Hakuna hatua nyingine. Halafu mnawalaumu waarabu lakini mnawaogopa. Mnawafanyia uhuni Niger kisa tu waarabu waliwafanyia hivyo.
 
Kama Caf hawakutoa adhabu Kwa opponent wa yanga means jambo jema pia Kwa bolboys wa Tz na sio kwenye clab bingwa
Tatizo mnaleta mambo ya vilabu kwenye timu ya Taifa. Kosa afanye USM Algier halafu malipizo kwa timu ya Taifa ya Niger. Tofautisha klabu na timu ya Taifa.
 
Tatizo ulikuwa unaangalia mpira ili tufungwe.Wale madogo wanaangalia mipira sana haijawahi tokea akini baada waarabu kutufanyia vile wakati wa mechi ya Yanga na USM Algier na kwa hakuna adhabu umetolewa inaonekana ni halali.CAF wamekuwa na upuuzi sana wa kuwabeba waarabu.
 
Wanafanya Waarabu sembuse sisi.. Toa upuuzi wako hapa, huoni mbinu ilitusaidia wakati Hali Iko mbaya. Wacha Ball boys Wafanye Mambo zao
Mnaiga kwa waarabu?. Yani mnaiga kwa waarabu na kuapply kwa ngozi nyeusi nyenzako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…