Hivi ni mwanamke gani humu jf unafikiri anapendwa sana ?

Hivi ni mwanamke gani humu jf unafikiri anapendwa sana ?

Ahsante sana. Ila Sesten umemwelewa mleta uzi. [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Au ndio waniuza jamaani. [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Hapa namsubiri yule kinara niruke nae,na nina uhakika nitamtoa humu jf,nikaishi nae maisha halisi kitaa.
 
Nasubiri mpaka saa 1:00 mchana kama hawajaja, naanza kutoa lock mmoja mmoja.
Mpaka sasa wamekuja 3 tu

Huna kifua bibie,wasitiri huko huko kama wao walivyokuja kimya kimya.
 
Kiswahili Hajar ni jiwe na mimi ni moto,hivi kuna jiwa linalo shinda moto ?
Hivi moto hua unayeyusha mawe? Kuna "Jiwe" flani linasumbua sana kule duniani aisee, labda ungetusaidia mkuu kuliunguza

Mi nilidhani kibokoya Jiwe ni nyundo mkuu
 
Hivi moto hua unayeyusha mawe? Kuna "Jiwe" flani linasumbua sana kule duniani aisee, labda ungetusaidia mkuu kuliunguza

Mi nilidhani kibokoya Jiwe ni nyundo mkuu
Bro huwa sihusudu siasa za kidemokrasia mimi huwa ninaomba amani itawale tu.

Amani ndio hazina yangu kuu bro,bila amani siwezi kutafuta na kufanya ibada,bila amani siwezi hudumia watu wangu wa karibu.

Hapo tumegawana majukumu.
 
Kama malkia wa nyuki vile, lile dume litakalofanikiwa kuruka juu sana mpaka kumfikia malkia ndio linakula tamtam ya malkia wa nyuki,lakini baada ya hapo na dume linakufa!

Yaani maisha ya mwanaume ni kupambana kwa ajili ya mwanamke hadi mwisho wa maisha yake
Habari ndo hiyo
 
Back
Top Bottom