squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,182
Ingawa siku hizi kapotea ila huyu ndiye anayependwa humu. Leo alikuwapo jukwaani uzi fulani kuhusu Tanzania hamna jiji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingawa siku hizi kapotea ila huyu ndiye anayependwa humu. Leo alikuwapo jukwaani uzi fulani kuhusu Tanzania hamna jiji.
Swadakta,yaani kuna mahaba na kuna mawada. Sasa haya mawada ndio funga kazi.Furaha ya mapenzi hii
Hapa namsubiri yule kinara niruke nae,na nina uhakika nitamtoa humu jf,nikaishi nae maisha halisi kitaa.Ahsante sana. Ila Sesten umemwelewa mleta uzi. [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Au ndio waniuza jamaani. [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Nasubiri mpaka saa 1:00 mchana kama hawajaja, naanza kutoa lock mmoja mmoja.
Mpaka sasa wamekuja 3 tu
Kiswahili Hajar ni jiwe na mimi ni moto,hivi kuna jiwa linalo shinda moto ?Kumbe mtoa mada ni mwanaume duh mie nilidhan ni shosti,akhu amkome hajar wetu[emoji23][emoji23]
Unajua maana ya "Zurri" au mjengeko wa jina umekuzuzua bibie ?Aaah jina analotumia sasa khaa sio kabisa
Sifa yako nyingine nimekumbuka HajarAhsante sana. Ila Sesten umemwelewa mleta uzi. 😜😜😜😜
Au ndio waniuza jamaani. 🙈🙈🙈🙈
DOOOOH.Hapa namsubiri yule kinara niruke nae,na nina uhakika nitamtoa humu jf,nikaishi nae maisha halisi kitaa.
Jina langu halitamkwi kama lilivyoandikwa usipokuwa maridadi katika elimu ya mtoko wa herufi unaweza kumeza ulimi.Hata mie id yake inanipa shida anafanana id na ke mmoja hivi humu
Hivi moto hua unayeyusha mawe? Kuna "Jiwe" flani linasumbua sana kule duniani aisee, labda ungetusaidia mkuu kuliunguzaKiswahili Hajar ni jiwe na mimi ni moto,hivi kuna jiwa linalo shinda moto ?
Inaonekana hujaelewa nilicho kiandika !DOOOOH.
[emoji124]♀️[emoji124]♀️[emoji124]♀️[emoji124]♀️
Bro huwa sihusudu siasa za kidemokrasia mimi huwa ninaomba amani itawale tu.Hivi moto hua unayeyusha mawe? Kuna "Jiwe" flani linasumbua sana kule duniani aisee, labda ungetusaidia mkuu kuliunguza
Mi nilidhani kibokoya Jiwe ni nyundo mkuu
Hahahaa. Naona unaisemea akili yangu duuh.Inaonekana hujaelewa nilicho kiandika !
Poa poaNaomba uje tena maana browser inazingua mpenz..
Habari ndo hiyoKama malkia wa nyuki vile, lile dume litakalofanikiwa kuruka juu sana mpaka kumfikia malkia ndio linakula tamtam ya malkia wa nyuki,lakini baada ya hapo na dume linakufa!
Yaani maisha ya mwanaume ni kupambana kwa ajili ya mwanamke hadi mwisho wa maisha yake
😳😳😳Cc Hajar, demis, amu, mzigua, shunie, Evelyn nawapenda kama navyolipenda dushe langu
Usikimbie bana Hajar naamini sijatia chumvi hapoDuuh. We Sesten.
🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️