Mkuu,hata mimi nimejaribu kuangalia hizi post kutoka Kenya(kwa nilizoziona mimi), sijaona wakisema kuhusu mabasi ya BRT kuwa yalitengenezwa Kenya,whether partly or wholly!MKuu hujaelewa walichomaanisha ni bus kwa ujumla sio bus za BRT bali ni zile local zinazoundwa na ma body builderwao ambao ni MASTER FABRICATOR,LSHS,MALVA,KVM,BANBROSS na CHODA. bus izo zipo nyingi tz.
Sent using Jamii Forums mobile app
Post hiyo ya twiter ni kweli wamesema. Kule juu sikuiona.
Wanatia huruma hawa wakenya uongo mchana kweupe[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtanzagiza ni mtu wa kusikitisha sana.
Kenya orders South Africa buses as Dar buys in NairobiView attachment 987308View attachment 987309View attachment 987310
dickhead [emoji16][emoji16][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]CASE CLOSED! [emoji23][emoji23][emoji23]
Leta source kua tanzania imenunua mabasi kenya we fala sana kumbe hzi bus made in china hakuna hata bus moja iliotoka kenya endeleeni kujipa hopesπππππ[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtanzagiza ni mtu wa kusikitisha sana.
Kenya orders South Africa buses as Dar buys in NairobiView attachment 987308View attachment 987309View attachment 987310
πππππ hujakosea chai maharageThe Kenyan buses are basically lorries with seats!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]The Kenyan buses are basically lorries with seats!
Na nyie simameni muiambie dunia ukwelKama watu wanasimama duniani na kudanganya Mlima Kilimanjaro uko kwao Kenya watashindwa kudanganya mabasi yanayotembea yametoka kwao? WaKenya walidanganya hivyo ili nao pia wawe na kitu chochote cha kujivunia kuhusu BRT ya Dar.
Ukweli huwa unajitokeza.Na
Na nyie simameni muiambie dunia ukwel
Kaka iyo ilikua b4 1970s. Now promo Ndo kila kitu, bax tusubir ukwel WA kuwa mlima kili upo kwetu ujitokeze tu from no where hiriar wenzetu wanautumia vlivo kuingiza kiasi kingi pengine kutushinda sie kupitia sector ya utaliiUkweli huwa unajitokeza.
Endelea kujifurahisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] CASE CLOSED! Sijui mbona mko allergic kwa ukweli lakini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maisha yafaa hivi