Wewe...
NI BABU WA ''leo tupo hapa pub ''a.k.a kaka yake Mtambuzi ndie anayekaimu nafasi ya uenyekiti kwa Dar yuko kwake kule mwananyamala.pale kwake utapata huduma za kila aina kimwili na kiroho ukifika hapao mbingu unaiona kwa karibu sana yaaki kama 1km na zote unapewa umiliki wewe .
Wewe...
Bishanga hivi kwanini unanifanyia hivyo??