Hivi ni nani mwenyekiti wa jf dar?

Hivi ni nani mwenyekiti wa jf dar?

Tena hakuna muoga kama wewe. Videti vingapi umesepa? Au unahisi ntakubaka?

944414_252341891570649_2123822250_n.jpg


Nitakuitia huyo jamaa uhangaike naye kabla chama hajaja!!!
 
Last edited by a moderator:
Kwasakwasa;;;;;;;;Nzawisaa!
428256_204892179648954_1948607309_n.jpg


Mwenye-kitu JF Dar atakuja hapa soon.
​
 
Nalindwa mno;
Siwezi kabisa kutoka nje ya lindo
Hata wale wanafunzi wa st. benjamini hawanifikii kwa ulinzi.

Tena hakuna muoga kama wewe. Videti vingapi umesepa? Au unahisi ntakubaka?
 
Nimekuwa nikifuatilia sana jinsi huko mikoani wana JF walivyo na umoja wao kama vile Mza, Arusha, Tanga na kwingineko, ila kwa hapa Bongo naona kama kutambuliana ni kwa baadhi ya vigenge fulani tu kama wale wa UDSM,waliowahi kusoma pamoja ambao wanafahamiana before na wengine wa urafiki wa kaiwaida. Je, hii kwetu imekaaje?

TAFAKARI.


Mikoani ni eneo gani Tanzania????

Dar sio mkoa ni nini??????.

Ficha upumbavu wako!!!
 
Back
Top Bottom