Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Kwa dar mmhh! sina uhakika!
Mwenyekiti kasharejeshwa kwao...chezeya Operesheni Kimbunga...yale mapost ya jana ndio alikuwa anaaga vile
Kwani si ulisema humtaki tena
Kwa dar mmhh! sina uhakika!
ha ha haaaaa, umejuaje wewe?hahaha...unaulizia ndevu kwa osama...bado wewe chotara wa kihabesh...
Tuunde basi we mwenyekiti mi katibu,baba yako mhazini.
Ha ha haaa
Bongo tunaogopana kama nini vile
Hakuna kwa namna yoyote ile nikakutana na
mwana jf hapa bongo, huwa tunaviziana viziana tu
ha ha haaaaa, umejuaje wewe?
Tena hakuna muoga kama wewe. Videti vingapi umesepa? Au unahisi ntakubaka?
Niulize tu,
Hivi jf ni sawa na chama cha siasa?
Jibu ;- Hapana!
Ni sawa na chama cha ushirika.
Yaandike bhanaa kwani unamuogopa nani???
Nimekuwa nikifuatilia sana jinsi huko mikoani wana JF walivyo na umoja wao kama vile Mza, Arusha, Tanga na kwingineko, ila kwa hapa Bongo naona kama kutambuliana ni kwa baadhi ya vigenge fulani tu kama wale wa UDSM,waliowahi kusoma pamoja ambao wanafahamiana before na wengine wa urafiki wa kaiwaida. Je, hii kwetu imekaaje?
TAFAKARI.
Niulize tu,
Hivi jf ni sawa na chama cha siasa?