Hivi ni nini hasa kilitokea Mrisho Ngassa alipoenda majaribio Uingereza?

Hivi ni nini hasa kilitokea Mrisho Ngassa alipoenda majaribio Uingereza?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
NGASA.jpg


Nakumbuka kipindi kile zilitokea taarifa kuwa Ngassa alipata nafasi ya kwenda kufanya majaribio katika team mmoja pale England.

Na ilikuwa achukulie endapo mambo yataenda shwari.

Lakini jamaa alirudi bongo, na stori za mtaani zikawa (natumaini ni utani) kwamba alishindwa kumaliza kuku mzima. Ila what really happened hadi Ngassa ku-fail majaribio na kurudi bongo

Fitness, Technical, Discipline, Afya?

Anaejua kweli tusaidie.
 
ALIKWENDA kwenye MAJARIBIO KLABU ya west Harm united FC.

Mwaka 2009.
Alofeli kwenye MAJARIBIO kutokana na sababu nyingi kama vile.

1. NCHI anayotoka si NCHI ya Soka. Kama NCHI za west Africa.
Senegal, Nigeria Ghana cameroon ivory cost etc.
Tanzania ilikuwa inashika nafasi za Mwisho kwenye Rank za Fifa.
Waingereza wanafuatilia Hadi fifa Rank.

2. Kimo na Umbo la mchezaji husika. Na kimo chake KIFUPI Mrisho ngasa alifeli MAJARIBIO kwasababu ya Ufupi WA kimo chake.
NA UMBO LAKE DOGO MNO LISILO NA MIPIRA.

3. Hana CV na profile ya maana
HAKUWA AMECHEZA kwenye Academy za maana, CV Lugha
HANA HATA MAGOLI NA MANJONJO YOU TUBE mengineyo mengi.

4.Tactical Aspect.
HAKUWA na UFUNDI, HAJUI kutuliza mpira, (controlling)
POOL FIRST TOURCH NK.

5.Kukosa mawakala WA maana wa kumsaidia na kumshauri Angalau angeanzia Scandinavia Finland, Sweden ndipo AENDE ufaransa na Baadaye Uingereza.


TANZANIA MPIRA NI KELELE ZA SIMBA NA YANGA HAKUNA FOOTBAL.

MPIRA WA MDOMONI.
 
Miaka ile Wachezaji wengi alienda enda Majaribio Ulaya

Haruna Moshi - Bobani, huyu alifauru vipimo na akaanda kucheza mpira wa kulipwa Ulaya, shida yake akamisi Jani la Arusha. End of story

Mrisho Ngasa - nadhani alifeli vipimo
Boban aliniuzunisha sana na bado alinichekesha

Yani bora ngassa alikataliwa ila boban alikimbia ahahahahhah
 
Miaka ile Wachezaji wengi walienda enda Majaribio Ulaya

Haruna Moshi - Bobani, huyu alifauru vipimo na akaanda kucheza mpira wa kulipwa Ulaya, shida yake akamisi Jani la Arusha. End of story

Mrisho Ngasa - nadhani alifeli vipimo
VIpimo vya "Afya" zingaia neno AFYA
 
Back
Top Bottom