Hivi ni nini hasa kilitokea Mrisho Ngassa alipoenda majaribio Uingereza?

Hivi ni nini hasa kilitokea Mrisho Ngassa alipoenda majaribio Uingereza?

View attachment 2708243

Nakumbuka kipindi kile zilitokea taarifa kuwa Ngassa alipata nafasi ya kwenda kufanya majaribio katika team mmoja pale England.

Na ilikuwa achukulie endapo mambo yataenda shwari.

Lakini jamaa alirudi bongo, na stori za mtaani zikawa (natumaini ni utani) kwamba alishindwa kumaliza kuku mzima. Ila what really happened hadi Ngassa ku-fail majaribio na kurudi bongo

Fitness, Technical, Discipline, Afya?

Anaejua kweli tusaidie.
vyote alivikosa
 
IPO story kia lishe yake ilikua mbovu, yaan alipigwa ugali/pushi akapepesuka umbali mref sana kias Cha cocha kuhofia afy yake na kuona hatoliweza soka la ulaya.
 
View attachment 2708243

Nakumbuka kipindi kile zilitokea taarifa kuwa Ngassa alipata nafasi ya kwenda kufanya majaribio katika team mmoja pale England.

Na ilikuwa achukulie endapo mambo yataenda shwari.

Lakini jamaa alirudi bongo, na stori za mtaani zikawa (natumaini ni utani) kwamba alishindwa kumaliza kuku mzima. Ila what really happened hadi Ngassa ku-fail majaribio na kurudi bongo

Fitness, Technical, Discipline, Afya?

Anaejua kweli tusaidie.
mrisho aojiwe hana baya atasema uncle na school mate
 
View attachment 2708243

Nakumbuka kipindi kile zilitokea taarifa kuwa Ngassa alipata nafasi ya kwenda kufanya majaribio katika team mmoja pale England.

Na ilikuwa achukulie endapo mambo yataenda shwari.

Lakini jamaa alirudi bongo, na stori za mtaani zikawa (natumaini ni utani) kwamba alishindwa kumaliza kuku mzima. Ila what really happened hadi Ngassa ku-fail majaribio na kurudi bongo

Fitness, Technical, Discipline, Afya?

Anaejua kweli tusaidie.
Huyu Ngasa alikwenda England au USA? Ninavyokumbuka alikwenda USA na sio England na hakufanikiwa!!!
 
Huyu Ngasa alikwenda England au USA? Ninavyokumbuka alikwenda USA na sio England na hakufanikiwa!!!
alikwenda England, alipelekwa na Yusuf SSB, by the time Ngassa alikuwa Mchezaji wa Azam Fc.

ukiacha walofanya mzaha hapo Juu, Ngassa alikutana na upinzani mkubwa ktk Trial Ile tena ktk nafasi ya WINGER, wenzetu wana vigezo lukuki ktk kupata Mchezaju sio tu ma mbio yako km Swala.

kulikuwa na wachezaji wengi kutoka mataifa mbali mbali ambao nao walifanyiwa trial pamoja nae na alikuwepo dogo mmoja wa Jamaica nadhani ndo alitoboa ktk wote!
 
Mi nafikri kwanza ni umri, ngassa alidanganya umri.

Kuna wakat hussein machoz alihojiwa akasema alikuwa anacheza mpila na ngassa miaka ya nyuma nafikiri ni kati ya moro sugar au kagera sugar, aakashangaa kumuona ngassa eti bado anajiita wa umri flani mdogo.

Kwa hio wale wazungu walimpima vipimo vya kuangalia umri unachezea wapi na pia wakakuta hafikii kigezo cha umri wanaotaka kuwa.

Pamoja na vingine pia alivyokosa.
 
ALIKWENDA kwenye MAJARIBIO KLABU ya west Harm united FC.

Mwaka 2009.
Alofeli kwenye MAJARIBIO kutokana na sababu nyingi kama vile.

1. NCHI anayotoka si NCHI ya Soka. Kama NCHI za west Africa.
Senegal, Nigeria Ghana cameroon ivory cost etc.
Tanzania ilikuwa inashika nafasi za Mwisho kwenye Rank za Fifa.
Waingereza wanafuatilia Hadi fifa Rank.

2. Kimo na Umbo la mchezaji husika. Na kimo chake KIFUPI Mrisho ngasa alifeli MAJARIBIO kwasababu ya Ufupi WA kimo chake.
NA UMBO LAKE DOGO MNO LISILO NA MIPIRA.

3. Hana CV na profile ya maana
HAKUWA AMECHEZA kwenye Academy za maana, CV Lugha
HANA HATA MAGOLI NA MANJONJO YOU TUBE mengineyo mengi.

4.Tactical Aspect.
HAKUWA na UFUNDI, HAJUI kutuliza mpira, (controlling)
POOL FIRST TOURCH NK.

5.Kukosa mawakala WA maana wa kumsaidia na kumshauri Angalau angeanzia Scandinavia Finland, Sweden ndipo AENDE ufaransa na Baadaye Uingereza.

TANZANIA MPIRA NI KELELE ZA SIMBA NA YANGA HAKUNA FOOTBAL.

MPIRA WA MDOMONI.
Uongo tuu

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Moja ya sababu kipindi kile wachezaji wetu walitapakaa Ughaibuni ni kwamba Maximo alitufikisha top 100 kwenye Viwango vya soka, hivyo Tuli Qualify Ligi nyingi za Nje kutoka Straight Tanzania.
Maximo alitufikisha nafasi ya 84,EPL Sheria nchi iwe nafasi ya 70 kipindi kile,nasikia siku hizi ni 50,nchi isipokua ya 70 basi uwe umechezea klabu ambayo imecheza UEFA ndani ya miezi 18 iliyopita,uwe na idadi Fulani ya mechi za timu ya taifa,ngasa alienda west ham kutalii tu
 
Back
Top Bottom