Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vyote alivikosaView attachment 2708243
Nakumbuka kipindi kile zilitokea taarifa kuwa Ngassa alipata nafasi ya kwenda kufanya majaribio katika team mmoja pale England.
Na ilikuwa achukulie endapo mambo yataenda shwari.
Lakini jamaa alirudi bongo, na stori za mtaani zikawa (natumaini ni utani) kwamba alishindwa kumaliza kuku mzima. Ila what really happened hadi Ngassa ku-fail majaribio na kurudi bongo
Fitness, Technical, Discipline, Afya?
Anaejua kweli tusaidie.
Hivi vipimo wanapima nini?Miaka ile Wachezaji wengi walienda enda Majaribio Ulaya
Haruna Moshi - Bobani, huyu alifauru vipimo na akaanza kucheza mpira wa kulipwa Ulaya, shida yake akamisi Jani la Arusha. End of story
Mrisho Ngasa - nadhani alifeli vipimo
[emoji1787][emoji1787]alikosoa fitness akapewa program maalumu ili baadae arudi lakini aliporudi akaongeza mke
mrisho aojiwe hana baya atasema uncle na school mateView attachment 2708243
Nakumbuka kipindi kile zilitokea taarifa kuwa Ngassa alipata nafasi ya kwenda kufanya majaribio katika team mmoja pale England.
Na ilikuwa achukulie endapo mambo yataenda shwari.
Lakini jamaa alirudi bongo, na stori za mtaani zikawa (natumaini ni utani) kwamba alishindwa kumaliza kuku mzima. Ila what really happened hadi Ngassa ku-fail majaribio na kurudi bongo
Fitness, Technical, Discipline, Afya?
Anaejua kweli tusaidie.
Huyu Ngasa alikwenda England au USA? Ninavyokumbuka alikwenda USA na sio England na hakufanikiwa!!!View attachment 2708243
Nakumbuka kipindi kile zilitokea taarifa kuwa Ngassa alipata nafasi ya kwenda kufanya majaribio katika team mmoja pale England.
Na ilikuwa achukulie endapo mambo yataenda shwari.
Lakini jamaa alirudi bongo, na stori za mtaani zikawa (natumaini ni utani) kwamba alishindwa kumaliza kuku mzima. Ila what really happened hadi Ngassa ku-fail majaribio na kurudi bongo
Fitness, Technical, Discipline, Afya?
Anaejua kweli tusaidie.
England westhamHuyu Ngasa alikwenda England au USA? Ninavyokumbuka alikwenda USA na sio England na hakufanikiwa!!!
Moja ya sababu kipindi kile wachezaji wetu walitapakaa Ughaibuni ni kwamba Maximo alitufikisha top 100 kwenye Viwango vya soka, hivyo Tuli Qualify Ligi nyingi za Nje kutoka Straight Tanzania.Kwa sheria za uefa unadhani ngassa angefaulu vipimo angecheza Epl MOJA kwa moja akitokea ligi ya Tz?
alikwenda England, alipelekwa na Yusuf SSB, by the time Ngassa alikuwa Mchezaji wa Azam Fc.Huyu Ngasa alikwenda England au USA? Ninavyokumbuka alikwenda USA na sio England na hakufanikiwa!!!
Hivi yule kicheche aliyemuokota bills ndo mke wa ngapi kwani?alikosoa fitness akapewa program maalumu ili baadae arudi lakini aliporudi akaongeza mke
wa3Hivi yule kicheche aliyemuokota bills ndo mke wa ngapi kwani?
Uongo tuuALIKWENDA kwenye MAJARIBIO KLABU ya west Harm united FC.
Mwaka 2009.
Alofeli kwenye MAJARIBIO kutokana na sababu nyingi kama vile.
1. NCHI anayotoka si NCHI ya Soka. Kama NCHI za west Africa.
Senegal, Nigeria Ghana cameroon ivory cost etc.
Tanzania ilikuwa inashika nafasi za Mwisho kwenye Rank za Fifa.
Waingereza wanafuatilia Hadi fifa Rank.
2. Kimo na Umbo la mchezaji husika. Na kimo chake KIFUPI Mrisho ngasa alifeli MAJARIBIO kwasababu ya Ufupi WA kimo chake.
NA UMBO LAKE DOGO MNO LISILO NA MIPIRA.
3. Hana CV na profile ya maana
HAKUWA AMECHEZA kwenye Academy za maana, CV Lugha
HANA HATA MAGOLI NA MANJONJO YOU TUBE mengineyo mengi.
4.Tactical Aspect.
HAKUWA na UFUNDI, HAJUI kutuliza mpira, (controlling)
POOL FIRST TOURCH NK.
5.Kukosa mawakala WA maana wa kumsaidia na kumshauri Angalau angeanzia Scandinavia Finland, Sweden ndipo AENDE ufaransa na Baadaye Uingereza.
TANZANIA MPIRA NI KELELE ZA SIMBA NA YANGA HAKUNA FOOTBAL.
MPIRA WA MDOMONI.
kwa kweli sifahamu, hata habari za kuongeza mke nilisoma Kwenye magazeti.Hivi yule kicheche aliyemuokota bills ndo mke wa ngapi kwani?
Maximo alitufikisha nafasi ya 84,EPL Sheria nchi iwe nafasi ya 70 kipindi kile,nasikia siku hizi ni 50,nchi isipokua ya 70 basi uwe umechezea klabu ambayo imecheza UEFA ndani ya miezi 18 iliyopita,uwe na idadi Fulani ya mechi za timu ya taifa,ngasa alienda west ham kutalii tuMoja ya sababu kipindi kile wachezaji wetu walitapakaa Ughaibuni ni kwamba Maximo alitufikisha top 100 kwenye Viwango vya soka, hivyo Tuli Qualify Ligi nyingi za Nje kutoka Straight Tanzania.