Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Nakumbuka kipindi kile zilitokea taarifa kuwa Ngassa alipata nafasi ya kwenda kufanya majaribio katika team mmoja pale England.
Na ilikuwa achukulie endapo mambo yataenda shwari.
Lakini jamaa alirudi bongo, na stori za mtaani zikawa (natumaini ni utani) kwamba alishindwa kumaliza kuku mzima. Ila what really happened hadi Ngassa ku-fail majaribio na kurudi bongo
Fitness, Technical, Discipline, Afya?
Anaejua kweli tusaidie.