Hivi ni nini hasa kilitokea Mrisho Ngassa alipoenda majaribio Uingereza?

Shule ilikupiga chenga kumbe!!..ndiyo maana unaandika utoko tu humu,hicho ndiyo kiingereza gani!?
 
Actual ni point system kwa sasa ila ukitoka Rank 1 hadi 50 inakua Automatic pass, mpaka sasa unaweza sajiliwa ikiwa una point 15 n point zinapatikana kwa
-umecheza Timu ya taifa asilimia zaidi ya 90 miaka miwili iliopita Point 2
-asilimia 80 mpaka 89 point moja, chini ya hapo hawaangalii
-mashindano ya kimataifa ya bara lako Group stage point 5 mpaka 10 ukifika Fainali
-ligi za Ndani bingwa point 1 mpaka 5 etc

Mchanganuo mzima upo hapa


Man United walimsajili Manucho Direct toka Angola sababu alikiwasha Mataifa Africa.
 
mjinga yule alikuwa alianza uzinzi na wazungu. msukuma akikutana na rangi nyeupe akili zote zinamtoka. ndo maana aliporudi akacheza hadi movie ya ngono na mdogo wake flora.
 
Kuna waliosema jamaa alipiga chenga wachezaji wote hadi kocha. Kwa hasira kocha akaona dharau akampiga chini.
 
Ulishaona wapi mtu mfupi,afu akawa yanga akawa na akili.??
 
Alikuwa mzimbabwe yule dogo.. winga hatari sana
 
Boban aliniuzunisha sana na bado alinichekesha

Yani bora ngassa alikataliwa ila boban alikimbia ahahahahhah
Mbaya zaidi aliyekuwa anawekwa benchi kumpisha, baada ya haruna kuukumbuka moshi na kuamua kurudi bongo mshikaji wa benchi alikiwasha baada ya msimu kuisha ikawa tiketi yake kuuzwa katka moja ya zile ligi kubwa 5 ulaya
 
Kuna ushahidi 100% kwamba Ngasa alienda USA na akachezea timu moja ya huko USA kama sikosei ni seattle sounders dhidi ya Man united mechi ya kirafiki. Ila kwa West ham inaelea elea kama alienda au ni uzushi. Cha kushangaza hata kule USA hakufanikiwa kupata timu.
 
Moja ya sababu kipindi kile wachezaji wetu walitapakaa Ughaibuni ni kwamba Maximo alitufikisha top 100 kwenye Viwango vya soka, hivyo Tuli Qualify Ligi nyingi za Nje kutoka Straight Tanzania.
Ligi nyingi ukijumuisha na EPL?
 
Na huu ndio ukweli wenyewe
Ngasa alienda kwenye mabonanza sio trial
 
Zamani kidogo miaka ya tisini kabla ya cellphone kusambaa, kuna mtanzania mmoja alikwenda kufanyiwa majaribio Uingereza. Alipofika akapewa furnsihed apartment ya kukaa wakati wa majaribio. Jamaa akawapigia ndugu zake kuwa amepewa nyumba ina simu, friji na kila kitu. Kwa vile yeye hakuwa na gari wakati huo basi kocha ndiye akawa anakwenda kumchukua nyumbani na kumrudisha. Jamaa akatangaza kuwa kocha anampenda sana kwani ni yeye tu anyebebwa kwenya gari ya kocha. Sasa baada ya majaribio, ikaonekana hawezi, basi akatemwa, na kwa vile alikuwa hana kazi nyingine akapata kibarua cha kuvuna zabibu. Kuna mtanzania mwingine akakakutana naye kwenye gari la contractor wa uvunaji wa zabibu akamwuliza vipi mbona uko huku, nilisikia unacheza kwenye timu fulani. Mwanasoka akawa mkali sana: "usinifuate fuate; achana na maisha yangu".
 
Haaha true story kabisa mkuu? Au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…