Hivi ni nini hasa kilitokea Mrisho Ngassa alipoenda majaribio Uingereza?

Hivi ni nini hasa kilitokea Mrisho Ngassa alipoenda majaribio Uingereza?

ALIKWENDA kwenye MAJARIBIO KLABU ya west Harm united FC.

Mwaka 2009.
Alofeli kwenye MAJARIBIO kutokana na sababu nyingi kama vile.

1. NCHI anayotoka si NCHI ya Soka. Kama NCHI za west Africa.
Senegal, Nigeria Ghana cameroon ivory cost etc.
Tanzania ilikuwa inashika nafasi za Mwisho kwenye Rank za Fifa.
Waingereza wanafuatilia Hadi fifa Rank.

2. Kimo na Umbo la mchezaji husika. Na kimo chake KIFUPI Mrisho ngasa alifeli MAJARIBIO kwasababu ya Ufupi WA kimo chake.
NA UMBO LAKE DOGO MNO LISILO NA MIPIRA.

3. Hana CV na profile ya maana
HAKUWA AMECHEZA kwenye Academy za maana, CV Lugha
HANA HATA MAGOLI NA MANJONJO YOU TUBE mengineyo mengi.

4.Tactical Aspect.
HAKUWA na UFUNDI, HAJUI kutuliza mpira, (controlling)
POOL FIRST TOURCH NK.

5.Kukosa mawakala WA maana wa kumsaidia na kumshauri Angalau angeanzia Scandinavia Finland, Sweden ndipo AENDE ufaransa na Baadaye Uingereza.

TANZANIA MPIRA NI KELELE ZA SIMBA NA YANGA HAKUNA FOOTBAL.

MPIRA WA MDOMONI.
Shule ilikupiga chenga kumbe!!..ndiyo maana unaandika utoko tu humu,hicho ndiyo kiingereza gani!?
 
Maximo alitufikisha nafasi ya 84,EPL Sheria nchi iwe nafasi ya 70 kipindi kile,nasikia siku hizi ni 50,nchi isipokua ya 70 basi uwe umechezea klabu ambayo imecheza UEFA ndani ya miezi 18 iliyopita,uwe na idadi Fulani ya mechi za timu ya taifa,ngasa alienda west ham kutalii tu
Actual ni point system kwa sasa ila ukitoka Rank 1 hadi 50 inakua Automatic pass, mpaka sasa unaweza sajiliwa ikiwa una point 15 n point zinapatikana kwa
-umecheza Timu ya taifa asilimia zaidi ya 90 miaka miwili iliopita Point 2
-asilimia 80 mpaka 89 point moja, chini ya hapo hawaangalii
-mashindano ya kimataifa ya bara lako Group stage point 5 mpaka 10 ukifika Fainali
-ligi za Ndani bingwa point 1 mpaka 5 etc

Mchanganuo mzima upo hapa

Man United walimsajili Manucho Direct toka Angola sababu alikiwasha Mataifa Africa.
 
View attachment 2708243

Nakumbuka kipindi kile zilitokea taarifa kuwa Ngassa alipata nafasi ya kwenda kufanya majaribio katika team mmoja pale England.

Na ilikuwa achukulie endapo mambo yataenda shwari.

Lakini jamaa alirudi bongo, na stori za mtaani zikawa (natumaini ni utani) kwamba alishindwa kumaliza kuku mzima. Ila what really happened hadi Ngassa ku-fail majaribio na kurudi bongo

Fitness, Technical, Discipline, Afya?

Anaejua kweli tusaidie.
mjinga yule alikuwa alianza uzinzi na wazungu. msukuma akikutana na rangi nyeupe akili zote zinamtoka. ndo maana aliporudi akacheza hadi movie ya ngono na mdogo wake flora.
 
View attachment 2708243

Nakumbuka kipindi kile zilitokea taarifa kuwa Ngassa alipata nafasi ya kwenda kufanya majaribio katika team mmoja pale England.

Na ilikuwa achukulie endapo mambo yataenda shwari.

Lakini jamaa alirudi bongo, na stori za mtaani zikawa (natumaini ni utani) kwamba alishindwa kumaliza kuku mzima. Ila what really happened hadi Ngassa ku-fail majaribio na kurudi bongo

Fitness, Technical, Discipline, Afya?

Anaejua kweli tusaidie.
Kuna waliosema jamaa alipiga chenga wachezaji wote hadi kocha. Kwa hasira kocha akaona dharau akampiga chini.
 
Ulishaona wapi mtu mfupi,afu akawa yanga akawa na akili.??
 
alikwenda England, alipelekwa na Yusuf SSB, by the time Ngassa alikuwa Mchezaji wa Azam Fc.

ukiacha walofanya mzaha hapo Juu, Ngassa alikutana na upinzani mkubwa ktk Trial Ile tena ktk nafasi ya WINGER, wenzetu wana vigezo lukuki ktk kupata Mchezaju sio tu ma mbio yako km Swala.

kulikuwa na wachezaji wengi kutoka mataifa mbali mbali ambao nao walifanyiwa trial pamoja nae na alikuwepo dogo mmoja wa Jamaica nadhani ndo alitoboa ktk wote!
Alikuwa mzimbabwe yule dogo.. winga hatari sana
 
Boban aliniuzunisha sana na bado alinichekesha

Yani bora ngassa alikataliwa ila boban alikimbia ahahahahhah
Mbaya zaidi aliyekuwa anawekwa benchi kumpisha, baada ya haruna kuukumbuka moshi na kuamua kurudi bongo mshikaji wa benchi alikiwasha baada ya msimu kuisha ikawa tiketi yake kuuzwa katka moja ya zile ligi kubwa 5 ulaya
 
alikwenda England, alipelekwa na Yusuf SSB, by the time Ngassa alikuwa Mchezaji wa Azam Fc.

ukiacha walofanya mzaha hapo Juu, Ngassa alikutana na upinzani mkubwa ktk Trial Ile tena ktk nafasi ya WINGER, wenzetu wana vigezo lukuki ktk kupata Mchezaju sio tu ma mbio yako km Swala.

kulikuwa na wachezaji wengi kutoka mataifa mbali mbali ambao nao walifanyiwa trial pamoja nae na alikuwepo dogo mmoja wa Jamaica nadhani ndo alitoboa ktk wote!
Kuna ushahidi 100% kwamba Ngasa alienda USA na akachezea timu moja ya huko USA kama sikosei ni seattle sounders dhidi ya Man united mechi ya kirafiki. Ila kwa West ham inaelea elea kama alienda au ni uzushi. Cha kushangaza hata kule USA hakufanikiwa kupata timu.
 
Moja ya sababu kipindi kile wachezaji wetu walitapakaa Ughaibuni ni kwamba Maximo alitufikisha top 100 kwenye Viwango vya soka, hivyo Tuli Qualify Ligi nyingi za Nje kutoka Straight Tanzania.
Ligi nyingi ukijumuisha na EPL?
 
Maximo alitufikisha nafasi ya 84,EPL Sheria nchi iwe nafasi ya 70 kipindi kile,nasikia siku hizi ni 50,nchi isipokua ya 70 basi uwe umechezea klabu ambayo imecheza UEFA ndani ya miezi 18 iliyopita,uwe na idadi Fulani ya mechi za timu ya taifa,ngasa alienda west ham kutalii tu
Na huu ndio ukweli wenyewe
Ngasa alienda kwenye mabonanza sio trial
 
Zamani kidogo miaka ya tisini kabla ya cellphone kusambaa, kuna mtanzania mmoja alikwenda kufanyiwa majaribio Uingereza. Alipofika akapewa furnsihed apartment ya kukaa wakati wa majaribio. Jamaa akawapigia ndugu zake kuwa amepewa nyumba ina simu, friji na kila kitu. Kwa vile yeye hakuwa na gari wakati huo basi kocha ndiye akawa anakwenda kumchukua nyumbani na kumrudisha. Jamaa akatangaza kuwa kocha anampenda sana kwani ni yeye tu anyebebwa kwenya gari ya kocha. Sasa baada ya majaribio, ikaonekana hawezi, basi akatemwa, na kwa vile alikuwa hana kazi nyingine akapata kibarua cha kuvuna zabibu. Kuna mtanzania mwingine akakakutana naye kwenye gari la contractor wa uvunaji wa zabibu akamwuliza vipi mbona uko huku, nilisikia unacheza kwenye timu fulani. Mwanasoka akawa mkali sana: "usinifuate fuate; achana na maisha yangu".
 
Zamani kidogo miaka ya tisini kabla ya cellphone kusambaa, kuna mtanzania mmoja alikwenda kufanyiwa majaribio Uingereza. Alipofika akapewa furnsihed apartment ya kukaa wakati wa majaribio. Jamaa akawapigia ndugu zake kuwa amepewa nyumba ina simu, friji na kila kitu. Kwa vile yeye hakuwa na gari wakati huo basi kocha ndiye akawa anakwenda kumchukua nyumbani na kumrudisha. Jamaa akatangaza kuwa kocha anampenda sana kwani ni yeye tu anyebebwa kwenya gari ya kocha. Sasa baada ya majaribio, ikaonekana hawezi akatemwa, na kwa vile alikuwa hana kazi nyingine akapata kibarua cha kuvuna zabibu. Kuna mtanzania mwingine akakakutana naye kwenye gari la contractor wa uvunaji wa zabibu akamwuliza vipi mbona uko hauku, niliskia unacheza kwenye timu fulani. Mwanasoka akawa mkali sana: "usinfuate fuate; achana na maisha yangu".
Haaha true story kabisa mkuu? Au?
 
Back
Top Bottom