Madhara ya bapa kubwa bila kulaHabarini Wadau
Mbona mzee wa Upako anavimba tu macho na kuota ukungu?
Ukijaribu kuangalia picha zake za awali kidogo tu na sasahv kwakweli utagundua huyu Lusekelo anavimba usoni hasa maeneo ya kuzunguka macho.
Sababu ni nini?
Ni kweli ni kutokana na kujichubua au utumiaji wa pombe kali kama wadaivyo watu?
EeehHuyu Tapeli chapombe ndio amewatabiria watu? [emoji23]
Kivp..em fafanua mkorogo na kuvimba macho kuna uhusiano ganimkorogo........tu hakuna kingne
Uhusiano wa kikemikali na kibailojia...Kivp..em fafanua mkorogo na kuvimba macho kuna uhusiano gani
Yani yule jamaa anatumia vipodozi,? Ili iweje hasa mbn bado sijaelewa mana anaonekana sio mtu wa mambo ayomuda kidogo kuna muumini wake mmoja alisema ni madhara ya vipodozi anavytumia ila nadhani na pombe inachangia.