Gullam
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 5,239
- 3,933
Mimi nasemeja, kuwa na umri mkubwa sio kuharibika sura hapana kubwa. Tena kwa watoto wa Mungu, aliahidi kuwafanya wapya kila cku, angalia kwa mfano Mwlm Mwakasege, ni mkubwa sana tu kwa mzee wa upako, muungalie alivyo sura, hata mimi naonekana mkubwa kwake. Muonekano wa sura ya mtu huwakilisha yale anayofanya.