Hivi ni nini kinamuharibu sura Mzee wa Upako ?

Hivi ni nini kinamuharibu sura Mzee wa Upako ?

Mimi nasemeja, kuwa na umri mkubwa sio kuharibika sura hapana kubwa. Tena kwa watoto wa Mungu, aliahidi kuwafanya wapya kila cku, angalia kwa mfano Mwlm Mwakasege, ni mkubwa sana tu kwa mzee wa upako, muungalie alivyo sura, hata mimi naonekana mkubwa kwake. Muonekano wa sura ya mtu huwakilisha yale anayofanya.
 
Habarini Wadau

Mbona mzee wa Upako anavimba tu macho na kuota ukungu?

Ukijaribu kuangalia picha zake za awali kidogo tu na sasahv kwakweli utagundua huyu Lusekelo anavimba usoni hasa maeneo ya kuzunguka macho.

Sababu ni nini?

Ni kweli ni kutokana na kujichubua au utumiaji wa pombe kali kama wadaivyo watu?
Utashindana lakini ....hautashinda
 
Habarini Wadau

Mbona mzee wa Upako anavimba tu macho na kuota ukungu?

Ukijaribu kuangalia picha zake za awali kidogo tu na sasahv kwakweli utagundua huyu Lusekelo anavimba usoni hasa maeneo ya kuzunguka macho.

Sababu ni nini?

Ni kweli ni kutokana na kujichubua au utumiaji wa pombe kali kama wadaivyo watu?
Mwacheni mtumishi. Omba kwa ajili yake Mungu ndiye muweza wa yote na yote. Naomba msimwandame saana mtumishi huyu mwachieni Mungu ambaye yeye hasemi uongo.
 
  • Thanks
Reactions: THT
Vipi katishia kuua mtu tena huko mtaani Kwake?!
 
Mbona picha hujaweka!!
2017-01-27-00-48-20-1389154198.jpeg
2017-01-27-00-51-20-1389154198.jpeg
2017-01-27-00-47-33-1389154198.jpeg

Weka picha mkuu tulinganishe before and after
 
Sasa tunapitia kwenye wakati mgumu sana,kama shetani anaweza kuwapepeta hawa jamaa kama ngano,sembuse sisi.

Mungu anawaona viongozi wa dini.
 
Habarini Wadau

Mbona mzee wa Upako anavimba tu macho na kuota ukungu?

Ukijaribu kuangalia picha zake za awali kidogo tu na sasahv kwakweli utagundua huyu Lusekelo anavimba usoni hasa maeneo ya kuzunguka macho.

Sababu ni nini?

Ni kweli ni kutokana na kujichubua au utumiaji wa pombe kali kama wadaivyo watu?
Hahaha hata mm nimewahi kujiuliza Hilo swali Lkn baada ya skendo kuwa anakunywa nikajua labda ndo sababu
 
Mimi nasemeja, kuwa na umri mkubwa sio kuharibika sura hapana kubwa. Tena kwa watoto wa Mungu, aliahidi kuwafanya wapya kila cku, angalia kwa mfano Mwlm Mwakasege, ni mkubwa sana tu kwa mzee wa upako, muungalie alivyo sura, hata mimi naonekana mkubwa kwake. Muonekano wa sura ya mtu huwakilisha yale anayofanya.
NI KWELI KABISA.
 
Anakesha kwa maombi akimsaidia malaika mkuu ili malaika washukie hii mitandao ya kijamii ndio maana unaona macho yamevimba

Kuhusu sura kuvimba yeye fani yake ni bondia juzi juzi alikuwa katika pambano la round 12 heavy weight katika ule ulimwengu wao

Onyo unywaji wa pombe kali si mzuri kwa sura yako.
 
Mm Simo, hajafanya tukio, mmeanza kumchambua, hizo ni dhihaki kubwa hata kama ana skendo...ila machoni kwa Mungu binadamu hawezi jua hukumu yake...kubadirika sura kuna mengi...sio lazima sababu zinazotajwa...Mungu ndo ajuaye maana ndiye anae mtumikia kwa kadri ya ufahamu wetu...hakuna aliyesema watu wamuamini yeye na mahibiri yake...kila MTU huchagua mahali pa kuabudu...watumishi wako wengi....ministry na madhehebu pia...
Uliyea anzisha Uzi huu hauko fair, hata kama una mchukia...ila haikufanyi wewe kutomwamini Mungu wako...
Nimesema haya kwakuwa ukiwa na akili si njema kumsema MTU ambae wewe hana athari nawe, ukimwacha Kuna atakaye kuuliza kuwa kwanini ulimwacha na sura yake?
 
Back
Top Bottom