Hivi ni nini kinamuharibu sura Mzee wa Upako ?

Hivi ni nini kinamuharibu sura Mzee wa Upako ?

Habarini Wadau

Mbona mzee wa Upako anavimba tu macho na kuota ukungu?

Ukijaribu kuangalia picha zake za awali kidogo tu na sasahv kwakweli utagundua huyu Lusekelo anavimba usoni hasa maeneo ya kuzunguka macho.

Sababu ni nini?

Ni kweli ni kutokana na kujichubua au utumiaji wa pombe kali kama wadaivyo watu?
Kuwa makini mkuu alisema mwezi wa tatu watakufa wengi sana walimchafua [emoji6] [emoji36]
 
BEFORE AFTER
upload_2017-1-27_10-26-24.jpeg
upload_2017-1-27_10-27-12.jpeg
 
Nimefungua page ya kwanza mpka hii ya tatu Hamna hata picha?!, mtoa mada habari haileti uhalisia tunaoutaka; yaani ni kama habari haijakamilika. Aise mpaka nmemkumbuka yule jamaa humu JF anajiita TYTA (sijui kama nmelipatia), alikuwa anafanya habari kama hizi zinakuwa na mvuto kwa kutuma mapicha picha.
 
Age imechange hata wewe uso utakuwa na makunyanzi hasa kama utaendelea kutumia Jf
 
Back
Top Bottom