Hivi ni nini kinamuharibu sura Mzee wa Upako ?

Hivi ni nini kinamuharibu sura Mzee wa Upako ?

Habarini Wadau

Mbona mzee wa Upako anavimba tu macho na kuota ukungu?

Ukijaribu kuangalia picha zake za awali kidogo tu na sasahv kwakweli utagundua huyu Lusekelo anavimba usoni hasa maeneo ya kuzunguka macho.

Sababu ni nini?

Ni kweli ni kutokana na kujichubua au utumiaji wa pombe kali kama wadaivyo watu?
We umejuaje kama anaota ukungu..?
 
Itakuwa stress amezidisha bapaz Sadaka haionekani mganga aliyemhakikishia waandishi WA habare watakufwa kafa kabla ya waandishi wenyewe sasa anahofu ya kuuza gongo........
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Na imeandikwa husiwaguse masiha wangu/ hasomae na afahamu
 
Kama ulisikiliza mahubiri yake ya Januari 22, kuna maneno alikuwa akiyarudia rudia.

Yatafute maneno hayo utapata jibu.

Wenye akili tulishaelewa long time ago.

Ngoja niishie hapo jamani nisije nikawatoa tongotongo.
 
Back
Top Bottom