yeah anatumia kwa taarifa toka kwa waumini wakeYani yule jamaa anatumia vipodozi,? Ili iweje hasa mbn bado sijaelewa mana anaonekana sio mtu wa mambo ayo
yeah kwa taarifa toka kwa waumini wakeIna maana anajichubua??
Utumishi wa Mungu na vipodozi?
Unamaanisha nini Mamndenyi!Ukute anatumia ile wanaita 'inueni mioyo'
Ili awe mweupe ama anatumia kwa matumizi mengine?yeah anatumia kwa taarifa toka kwa waumini wake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eeeh
Na naskia kuna ambao hata february washa ikosa, wametangulia
Kuwa makini [emoji1]
Kwa kweli kazi ipo!yeah kwa taarifa toka kwa waumini wake
Kuwa makini mkuu alisema mwezi wa tatu watakufa wengi sana walimchafua [emoji6] [emoji36]Habarini Wadau
Mbona mzee wa Upako anavimba tu macho na kuota ukungu?
Ukijaribu kuangalia picha zake za awali kidogo tu na sasahv kwakweli utagundua huyu Lusekelo anavimba usoni hasa maeneo ya kuzunguka macho.
Sababu ni nini?
Ni kweli ni kutokana na kujichubua au utumiaji wa pombe kali kama wadaivyo watu?
yeah ku bleach skin awe mweupeIli awe mweupe ama anatumia kwa matumizi mengine?
Mwenye mamlaka na pumzi na maisha ya binadamu ni Mungu peke yake nasio mwanadamuBosi kuwa makini
Kuna waandishi wametabiriwa hawataiona March.
Duh! Ngoja tusubiri mwisho wake nini tupate cha kujifunza!
yeah ku bleach skin awe mweupe
Kwa mapenzi yake au ya munguEeeh
Na naskia kuna ambao hata february washa ikosa, wametangulia
Kuwa makini [emoji1]