Wel na kile kibabu cha Somalia chenye miak 104 kimeoa kabinti ka miaka 17 inakuwaje hapo?😕
utasema shkamoo huku ukiendelea na mchezo :d hahaha
kusalimiana si lazima shikamoo......kuna wengine wana `umeamkaje mpenzi`, `za kuamka?` `assalaam aleykum`, `bwana asifiwe` n.k
sasa hapa Gender sensitive umekusudia Shikamoo tu au mpaka hizi nyengine zina utata kumpa mumeo?
Mmh basi kazi ipo!lakini wewe sikushangai ni Mzee wa Kijiji hivyo ni muhimu kudumisha mila hata hivyo nakupongeza kwa ukarimu wa kusaidia kupaki virago.
watu wanataka kuiga uzungu hadi shikamoo inataka kufutwa? darling, sijui hun, sijui love.. yaishiage huko huko..!! mwisho mtatuambia watoto wetu na wenyewe waje "mambo vipi daddie!" kama mtu hajatimuliwa na makonzi!!

salam ni lazima, mke lazima amsalimie mume wake
Yaani hata mi nswashangaa! kwa nini vya wazungu wajameni? mbona hakuna anayezungumzia context ya shikamoo kila mmoja anaongelea literal meaning yake?
Ni kweli tunaposalimia wakubwa zetu 'shikamoo' (tuache wapenzi/mke/mume) tunakuwa tunamaanisha 'nipo chini ya miguu yako' kutoka moyoni?
Au sijui (hang'over hizi za jana duh)
Unachoshangaa nini?sio lazima salamu iwe kwa kingereza hata kwa kiswahili zipo lakini sio shikamoo.
Wakuu habari zenu!
Hili jambo limekuwa likinitatiza sana tena sana...Utakuta binti au mwanamke aliyeolewa anamwamkia mume wake eti kwakuwa mwaume ni mkubwa kiumri kuliko mkewe,mimi hii sielewi kabisa..What I know mke na mume ni mtu na rafiki yake tena ndio best friends na kwaninavyofahamu maana shikamoo naona haistahili kufanyika kwa wapendanao..mimi kwangu naona haina maana kabisa kumpa shikamoo mumeo hata kama amekuzidi miaka 40! Lakini kila kukicha nasikia watu wakiwaamkia waume zao..Jamani hivi hii imekaaje?je ni sawa?
kwa mimi kwa kweli hainiingii akilini....hata anizidi miaka 90 simpi shikamoo
Kwani ni nini maana ya shikamoo? Unanikumbusha mtu anayesema anaona shida sana kumpa shikamoo mtu ambaye wamepitiana.Mwingine akadai kwamba mtu amwombaye "chadema" yaani V hana adabu na anaona anadharauliwa kuombwa.
Sasa mimi sielewi, kama aliyekuzidi umri anastahili kumpa heshima, lakini mumeo aliyekuzidi miaka 40 hauko tayari kumwamkia, au yule anayeombwa cadema anaamini amedharauliwa, hivi heshima ya mwanamke iko kwenye chadema? Mbona wanawake mnajidhalilisha? Kwani ni kibaya kipi kutembeleana, mie nilidhani mungezidisha kuheshimiana kwa kuwa hata vilivyofichika - nyeti mmepeana na kwa hiyo mnajuana kwa kina zaidi? Si ni wasiri ninyi? Jamani, sasa utampaje mtu chadema yako asipokuomba? Mbona msipoombwa muda mrefu mnaenda Bagamoyo na Ujiji kusafisha nyota?
Ni utovu wa nidhamu kumnyima haki ya kuamkiwa mtu yeyote ati tu sababu unakula mhogo wake. Heshima ya mwanamke iko moyoni mwake na sio hapo ambapo Terry alishasema hakijai hata kenye kiganja cha mkono. Amkeni na mjijue position ya heshima zenu wanawake! Mumeo atajisikia vizuri sana ukimwamkia kwa sababu ni dalili mojawapo ya submission kwake.