Hivi ni Sahihi Kumpa Mpenzio Shikamoo?

Hivi ni Sahihi Kumpa Mpenzio Shikamoo?

Status
Not open for further replies.
Wel na kile kibabu cha Somalia chenye miak 104 kimeoa kabinti ka miaka 17 inakuwaje hapo?😕

........Hapo age is just a number, hata kama huyo babu akimzidi huyo mtoto miaka 200 hakuna haja ya kumpa shikamoo.
 
utasema shkamoo huku ukiendelea na mchezo :d hahaha

kusalimiana si lazima shikamoo......kuna wengine wana `umeamkaje mpenzi`, `za kuamka?` `assalaam aleykum`, `bwana asifiwe` n.k

sasa hapa Gender sensitive umekusudia Shikamoo tu au mpaka hizi nyengine zina utata kumpa mumeo?

tatizo ni hiyo shikamoo ya kiswahili!!! ikiwa ya kidhungu safi sana, mng hny,dear, darling etc.
 
Mmh basi kazi ipo!lakini wewe sikushangai ni Mzee wa Kijiji hivyo ni muhimu kudumisha mila hata hivyo nakupongeza kwa ukarimu wa kusaidia kupaki virago.

watu wanataka kuiga uzungu hadi shikamoo inataka kufutwa? darling, sijui hun, sijui love.. yaishiage huko huko..!! mwisho mtatuambia watoto wetu na wenyewe waje "mambo vipi daddie!" kama mtu hajatimuliwa na makonzi!!
 
Yaani mwanakijiji umenipatia wazo sasa hivi baada ya kusoma post yako

Nakuja
 
shikamoo hutolewa kwa mtu aliyekuzidi umri...sasa kama Kaka mpenzi wako kakuzidi umri kwa nini usimpe shikamoo yake??au dada kama mpezi wako kakuzizi umri kwa nini asimpe shikamoo
 
bila shikamoo maisha hayaendi jamani....age is just a number but inabaki palepale....it is a must...
 
watu wanataka kuiga uzungu hadi shikamoo inataka kufutwa? darling, sijui hun, sijui love.. yaishiage huko huko..!! mwisho mtatuambia watoto wetu na wenyewe waje "mambo vipi daddie!" kama mtu hajatimuliwa na makonzi!!

Ha ha ha!
 
Yaani hata mi nswashangaa! kwa nini vya wazungu wajameni? mbona hakuna anayezungumzia context ya shikamoo kila mmoja anaongelea literal meaning yake?

Ni kweli tunaposalimia wakubwa zetu 'shikamoo' (tuache wapenzi/mke/mume) tunakuwa tunamaanisha 'nipo chini ya miguu yako' kutoka moyoni?

Au sijui (hang'over hizi za jana duh)
 
Unachoshangaa nini?sio lazima salamu iwe kwa kingereza hata kwa kiswahili zipo lakini sio shikamoo.
 
Wakuu habari zenu!
Hili jambo limekuwa likinitatiza sana tena sana...Utakuta binti au mwanamke aliyeolewa anamwamkia mume wake eti kwakuwa mwaume ni mkubwa kiumri kuliko mkewe,mimi hii sielewi kabisa..What I know mke na mume ni mtu na rafiki yake tena ndio best friends na kwaninavyofahamu maana shikamoo naona haistahili kufanyika kwa wapendanao..mimi kwangu naona haina maana kabisa kumpa shikamoo mumeo hata kama amekuzidi miaka 40! Lakini kila kukicha nasikia watu wakiwaamkia waume zao..Jamani hivi hii imekaaje?je ni sawa?

Kwani ni nini maana ya shikamoo? Unanikumbusha mtu anayesema anaona shida sana kumpa shikamoo mtu ambaye wamepitiana.Mwingine akadai kwamba mtu amwombaye "chadema" yaani V hana adabu na anaona anadharauliwa kuombwa.

Sasa mimi sielewi, kama aliyekuzidi umri anastahili kumpa heshima, lakini mumeo aliyekuzidi miaka 40 hauko tayari kumwamkia, au yule anayeombwa cadema anaamini amedharauliwa, hivi heshima ya mwanamke iko kwenye chadema? Mbona wanawake mnajidhalilisha? Kwani ni kibaya kipi kutembeleana, mie nilidhani mungezidisha kuheshimiana kwa kuwa hata vilivyofichika - nyeti mmepeana na kwa hiyo mnajuana kwa kina zaidi? Si ni wasiri ninyi? Jamani, sasa utampaje mtu chadema yako asipokuomba? Mbona msipoombwa muda mrefu mnaenda Bagamoyo na Ujiji kusafisha nyota?

Ni utovu wa nidhamu kumnyima haki ya kuamkiwa mtu yeyote ati tu sababu unakula mhogo wake. Heshima ya mwanamke iko moyoni mwake na sio hapo ambapo Terry alishasema hakijai hata kenye kiganja cha mkono. Amkeni na mjijue position ya heshima zenu wanawake! Mumeo atajisikia vizuri sana ukimwamkia kwa sababu ni dalili mojawapo ya submission kwake.
 
Men bwana what is so special in Shikamoo? what if ukisalimiwa umeamkaje mpenzi kwa sauti ya upole yenye kuonyesha heshima na upendo- would it make a different? Why shikamoo? maana yake ni nini au unajisikiaje unapoamkiwa shikamoo? what comes right away in your head unapoamkiwa shikamoo na mtu yeyote?

Na kama shikamoo ni heshima iweje wengine mkiamkiwa huko mitaani na kina Eliza mnazipotezea? Ila kwa wake zenu mwazitaka tena kwa nguvu???

Ndio maana mie siwaelewi kabisa
 
Hivi shikamoo ni utumwa au heshima? Au pengine inabadilika kulingana na watu na mazingira?

Kama shikamoo ni utumwa iweje tunakubali kuwa watumwa wa wazazi wetu na watu wengine waliotuzidi umri ambao kila uchao, tunawaamkua 'Shikamoo'?

Kama ni heshima, iweje inatuwia vigumu kuwaamkia 'shikamoo' wapenzi au hata marafiki wa karibu ambao wametuzidi umri? Je, kutokutoa shikamoo kwa mtu aliyekuzidi umri ni 'dharau' (kinyume cha kuheshimu)?

Mwanzoni shikamoo ilikuwa ikitolewa na watumwa kwa 'mabwana' zao bila kujali umri. Lakini baadae imebadilika na kwa sehemu kubwa imekuwa ikizingatia umri. Kuna baadhi ya watu hutoa shikamoo kwa watu wenye mamlaka (authority) hata kama wamewazidi umri watu hao. Nimeona wengine wanawaamkia 'wake wadogo' wa baba zao hata kama wake hao ni wadogo kiumri.

Lakini tukirudi, kwenye mahusiano ya mke na mume, kimsingi sioni tatizo mdogo kiumri kumuamkia mkubwa shikamoo kama salamu hiyo inaashiria heshima aliyonayo kwake (or at least 'appreciation' ya tofauti yao ya umri!) na yule anayepewa hiyo shikamoo anaikubali comfortably.
 
Kwani ni nini maana ya shikamoo? Unanikumbusha mtu anayesema anaona shida sana kumpa shikamoo mtu ambaye wamepitiana.Mwingine akadai kwamba mtu amwombaye "chadema" yaani V hana adabu na anaona anadharauliwa kuombwa.

Sasa mimi sielewi, kama aliyekuzidi umri anastahili kumpa heshima, lakini mumeo aliyekuzidi miaka 40 hauko tayari kumwamkia, au yule anayeombwa cadema anaamini amedharauliwa, hivi heshima ya mwanamke iko kwenye chadema? Mbona wanawake mnajidhalilisha? Kwani ni kibaya kipi kutembeleana, mie nilidhani mungezidisha kuheshimiana kwa kuwa hata vilivyofichika - nyeti mmepeana na kwa hiyo mnajuana kwa kina zaidi? Si ni wasiri ninyi? Jamani, sasa utampaje mtu chadema yako asipokuomba? Mbona msipoombwa muda mrefu mnaenda Bagamoyo na Ujiji kusafisha nyota?

Ni utovu wa nidhamu kumnyima haki ya kuamkiwa mtu yeyote ati tu sababu unakula mhogo wake. Heshima ya mwanamke iko moyoni mwake na sio hapo ambapo Terry alishasema hakijai hata kenye kiganja cha mkono. Amkeni na mjijue position ya heshima zenu wanawake! Mumeo atajisikia vizuri sana ukimwamkia kwa sababu ni dalili mojawapo ya submission kwake.

He makubwa,CHADEMA tena!
 
Hili ndilo hasa kiini cha yote

Aksante Leka
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom