Hivi ni sahihi kwa mke kunyonya sehemu za siri za mume wake?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maskiniii uko km kifurushii, unahamishwaa hapa na kupelekwaa palee.
Poleeee dogo, woiiiiiiih
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hapo unaposema kifurushi sipendi...

Safari hii nikifika nimefika
 
1 Wakorintho 7:5

Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu.

Msingi wa mambo yote ni mapatano, kama alikunyonya ukiwa haujamuoa hana sababu ya kukataa baada ya kumuoa isipokuwa ni mapatano yenu, maana mambo ya chumbani yanabaki kwenu wawili. Lazima mpatane ni namna gani mtashiriki tendo la ndoa.

Na hii imekuwa kasumba ya wanawake wengi, wakiingia ndani ya ndoa basi wanaanza kuekti utakatifu, kumbe uongo ni kwamba wamekuwa wavivu labda kwa sababu hitaji lao la ndoa linakuwa limeshatimia hata style watakupa kifo cha mende pekee, wakat kabla ya hapo hata popo kanyea mbingu wanakuwekea
Baba mtumishi 😊😊
 
Mimi sijaoa Ingawa naelekea huko. Uzi wangu ni kwa dhumuni la kujifunza, hasa kutoka kwa wenye ndoa.

Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana. Sasa jana kuna movie moja ya Ki-Nigeria yenye Title "ITS COMPLICATED" ya RAY EMODI, CHINONSO ARUBAYI na PATIENCE UJAH (2022); nilikuwa naitazama, nikakutana na the same scenario.

Moja ya mambo ambayo yalikuwa yanawagombanisha wanandoa kwenye movie hiyo ni swala la mwanamke kunyonya mkuyenge wa mumewe BAADA YA NDOA. Mwanamke hakutaka kabisa kufanya jambo hilo BAADA ya ndoa wakati KABLA ya ndoa mwanamke alikuwa hodari sana kwenye hilo eneo.

Argument ya mwanamke ni hii, kwamba hiyo ni ya malaya, yeye ni mke na sio malaya. Mwanaume akamuuliza, mbona kabla ya ndoa alikuwa anamnyonya Kwa ujuzi wa hali ya juu? Mwanamke akamjibu, alifanya hivyo kwasababu alimuona mwanaume anapenda sana hicho kitu so akalazimika amfanyie (lakini nyuma ya pazia ni kama alimaanisha alimnyonya ili apate ndoa).

Mwanaume ikabidi akamuulize rafiki yake sana wa kiume, rafiki yake akamjibu yeye mkewe anamnyonya kabla na baada ya ndoa, kwasababu kile kitendo kinachochea hamu ya tendo. Jamaa ndio akazidi kuwa kichaa akidhani ananyimwa haki yake ya msingi.

Sasa swali langu kwenu wanandoa, hasa vijana, hivi kumuomba mkeo akunyonye ni kumvunjia heshima na kumfananisha na malaya au ni sehemu tu ya mapenzi/tendo?

Nadhani Kuna watu wanatamani kupata majibu sahihi kaka mimi.
cocastic mada zako hizi
 
Ngono na busara wapi na wapi. Hilo tendo tu halijakaa kibusara busara, kuna busara gani kwenye kupiga bao?
Wewe unaongelea ngono; mimi nazungumzia tendo la ndoa. Hivi ni vitu viwili tofauti.

Tendo la ndoa ni takatifu sana. Na ndoa ndiyo taasisi kongwe kuliko zote duniani. Iliwekwa na Mungu mwenyewe mara tu baada ya kumuumba binadamu pale Eden.

Licha ya kuleta furaha baina ya wana ndoa pia tendo hili linamshirikisha moja kwa moja binadamu katika uumbaji. Hivyo lazima liheshimiwe.

Kitu kilichowekwa na Mungu wewe huwezi sema ni uchafu. Kunyonyana sehemu hizo za siri siyo sehemu ya tendo la ndoa.
 
Mimi sijaoa Ingawa naelekea huko. Uzi wangu ni kwa dhumuni la kujifunza, hasa kutoka kwa wenye ndoa.

Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana. Sasa jana kuna movie moja ya Ki-Nigeria yenye Title "ITS COMPLICATED" ya RAY EMODI, CHINONSO ARUBAYI na PATIENCE UJAH (2022); nilikuwa naitazama, nikakutana na the same scenario.

Moja ya mambo ambayo yalikuwa yanawagombanisha wanandoa kwenye movie hiyo ni swala la mwanamke kunyonya mkuyenge wa mumewe BAADA YA NDOA. Mwanamke hakutaka kabisa kufanya jambo hilo BAADA ya ndoa wakati KABLA ya ndoa mwanamke alikuwa hodari sana kwenye hilo eneo.

Argument ya mwanamke ni hii, kwamba hiyo ni ya malaya, yeye ni mke na sio malaya. Mwanaume akamuuliza, mbona kabla ya ndoa alikuwa anamnyonya Kwa ujuzi wa hali ya juu? Mwanamke akamjibu, alifanya hivyo kwasababu alimuona mwanaume anapenda sana hicho kitu so akalazimika amfanyie (lakini nyuma ya pazia ni kama alimaanisha alimnyonya ili apate ndoa).

Mwanaume ikabidi akamuulize rafiki yake sana wa kiume, rafiki yake akamjibu yeye mkewe anamnyonya kabla na baada ya ndoa, kwasababu kile kitendo kinachochea hamu ya tendo. Jamaa ndio akazidi kuwa kichaa akidhani ananyimwa haki yake ya msingi.

Sasa swali langu kwenu wanandoa, hasa vijana, hivi kumuomba mkeo akunyonye ni kumvunjia heshima na kumfananisha na malaya au ni sehemu tu ya mapenzi/tendo?

Nadhani Kuna watu wanatamani kupata majibu sahihi kaka mimi.
Unaulizaje swali la faragha kwenye public?!!!
 
Ndiyo kwa mwanamke kumfanyia hivyo mwanaume ni sahihi ila mwanaume hutakiwi ufanye hivyo usije kuomba hela za operation ya koo
 
Back
Top Bottom