Hivi ni sahihi kwa mke kunyonya sehemu za siri za mume wake?

Hivi ni sahihi kwa mke kunyonya sehemu za siri za mume wake?

Wizooo!! Ntapelekwa kwa kosa la kubaka mwanafunzi, kuna kijana wa 4m 3 ananikomalia sana nimuoneshe kikopo changu.

Sasa subiri nimpe akifungue, afu alowee mazima, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpe samvu la kopo hadi atamani kuacha shule 😂😂😂😂
 
Kwani kwenye mapenzi ya wanandoa huwa kuna busara yeyote inatumika mkuu?
Ipo mkuu.
Tendo takatifu hilo lazima busara iwepo. Waislam na Wakatoliki wanazo sala za kuombea tendo lenyewe kabla ya kulitenda kuonesha kuwa ni jambo nyeti lenye kuhitaji busara
 
Ipo mkuu.
Tendo takatifu hilo lazima busara iwepo. Waislam na Wakatoliki wanazo sala za kuombea tendo lenyewe kabla ya kulitenda kuonesha kuwa ni jambo nyeti lenye kuhitaji busara
Sala siyo tatizo mkuu ila najaribu kuwaza busara inayoweza kutumika kwa mfanyaji na mfanywaji wakati wanafanyana.
 
Siyo busara hasa kwa wanandoa kunyonyana sehemu za siri.
Mnaoto**a wake zenu kwa busara ndo mnasababisha michepuko mtaani
Yaani unatumia busara kwenye sex? Hauna pengine pa kuipeleka hiyo busara yako?
 
Mimi sijaoa Ingawa naelekea huko. Uzi wangu ni kwa dhumuni la kujifunza, hasa kutoka kwa wenye ndoa.

Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana. Sasa jana kuna movie moja ya Ki-Nigeria yenye Title "ITS COMPLICATED" ya RAY EMODI, CHINONSO ARUBAYI na PATIENCE UJAH (2022); nilikuwa naitazama, nikakutana na the same scenario.

Moja ya mambo ambayo yalikuwa yanawagombanisha wanandoa kwenye movie hiyo ni swala la mwanamke kunyonya mkuyenge wa mumewe BAADA YA NDOA. Mwanamke hakutaka kabisa kufanya jambo hilo BAADA ya ndoa wakati KABLA ya ndoa mwanamke alikuwa hodari sana kwenye hilo eneo.

Argument ya mwanamke ni hii, kwamba hilo zoezi ni la malaya, yeye ni mke na sio malaya. Mwanaume akamuuliza, mbona kabla ya ndoa alikuwa anamnyonya Kwa ujuzi wa hali ya juu? Mwanamke akamjibu, alifanya hivyo kwasababu alimuona mwanaume anapenda sana hicho kitu so akalazimika amfanyie (lakini nyuma ya pazia ni kama alimaanisha alimnyonya ili apate ndoa).

Mwanaume ikabidi akamuulize rafiki yake sana wa kiume, rafiki yake akamjibu yeye mkewe anamnyonya kabla na baada ya ndoa, kwasababu kile kitendo kinachochea hamu ya tendo. Jamaa ndio akazidi kuwa kichaa akidhani ananyimwa haki yake ya msingi.

Sasa swali langu kwenu wanandoa, hasa vijana, hivi kumuomba mkeo akunyonye ni kumvunjia heshima na kumfananisha na malaya au ni sehemu tu ya mapenzi/tendo?

Nadhani Kuna watu wanatamani kupata majibu sahihi kaka mimi.
Kila mtu ana idea yake ya kupata pleasure na ku enjoy tendo. Kumuomba Kwa upande wangu unaweza kama unapenda kunyonywa ila akikataa sio vyema iwe ugomvi sasa
 
Mapenzii ni sirii...Mapenzii ni uchafu na Mapenzii ni furaha...Yaani mwanamke ampe mwanaume furaha na mwanaume ampe mwanamke furaha...Sex is happy ending...Kama mlizoesha kuwa mwanaume anyonywe ndo afurah bas iwe hvo na kwa mwanamke iwe hvo...mke kama mume amekwambua hayuko comfortable kunyonywa then sawa...Lakini Mapenz ni uchafu ambao mwsho wa siku unareta furaha kwa wote wawili na sio upande mmoja...Mimi na mke wangu tunanyonyana mpk makwapaa ilimrad tu kila mtu afurahie huduma ua mwenzie so kama hamna utaratibu huo msifanye...
 
Back
Top Bottom