Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,070
Wengi mchelele mchele siku izi so inakua kama kawaida ila Mwanaume kamili unatakiwa uwe na maneno ya kutumia kulingana na mtu husika...
Mfano kumwambia manzi ako "pole mwaya mpenz wangu" sio mchele mchele....
Ila mchele unakuja pale unapotumia ilo neno mbele ya WanaNzengo!
Mfano kumwambia manzi ako "pole mwaya mpenz wangu" sio mchele mchele....
Ila mchele unakuja pale unapotumia ilo neno mbele ya WanaNzengo!