Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,070
Maana mimi siyo msikilizaji wa radio,kumbe ndivyo ilivyo hivyo?Mtoa mada kasema new version ya hilo neno linatumika kishoga shoga hasa baada ya Wale wapuuzi wa Clouds kulishikilia bango kwenye kile kipindi chao
Watu mradi watoe post siku iende acha kukalili maishaInaboa sana unakuta Dume zima na mindevu yake linatumia misemo hii:
-Umedamshi
-Unadanga
-Kama lote vile
-Nyooo
-Jibebe
-Umependezaje
-Utapa tabu sana* (New version)
-Tunanyapia nyapia
-Ubuyu
-usinikaushe uzazi
-Unikome mwana wa mwenzio
-Na baadooo
-Aku Babu wee
-Mwaya
Maeneo mengi ya Dar ni kawaida sana kumkuta mwanaume anatumia hiyo.misemo halafu hata aibu haoni,kuna maneno hayajakaa kiume mazee.
Mkome kutukosea adabu wanaume wa Dar es salaam sifa zote mbaya mnatupa sisi , mbona wadada zenu wakija huku wanarudi na mimba hamtupi sifa kwa hilo , naona wanaume wa mikoani mko so insecure tutaendelea kuwalia dada zenu tupeni kila aina ya jina lakini ukiona mtu anazungumzwa sana ujue anakubalika.Inaboa sana unakuta Dume zima na mindevu yake linatumia misemo hii:
-Umedamshi
-Unadanga
-Kama lote vile
-Nyooo
-Jibebe
-Umependezaje
-Utapa tabu sana* (New version)
-Tunanyapia nyapia
-Ubuyu
-usinikaushe uzazi
-Unikome mwana wa mwenzio
-Na baadooo
-Aku Babu wee
-Mwaya
Maeneo mengi ya Dar ni kawaida sana kumkuta mwanaume anatumia hiyo.misemo halafu hata aibu haoni,kuna maneno hayajakaa kiume mazee.
Hivi wanaume wa Dar wana shida gani lakini?Inaboa sana unakuta Dume zima na mindevu yake linatumia misemo hii:
-Umedamshi
-Unadanga
-Kama lote vile
-Nyooo
-Jibebe
-Umependezaje
-Utapa tabu sana* (New version)
-Tunanyapia nyapia
-Ubuyu
-usinikaushe uzazi
-Unikome mwana wa mwenzio
-Na baadooo
-Aku Babu wee
-Mwaya
Maeneo mengi ya Dar ni kawaida sana kumkuta mwanaume anatumia hiyo.misemo halafu hata aibu haoni,kuna maneno hayajakaa kiume mazee.