Hivi ni sahihi mwanamke kukupangia sehemu ya kwenda kugegedeana?

Hivi ni sahihi mwanamke kukupangia sehemu ya kwenda kugegedeana?

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,511
Reaction score
4,369
Amani ya Bwana iwe nanyi!

Kuna mwanamke nilikua na appointment nae ya kwenda kusex leo, mimi kwa bajeti yangu ya elfu 30, nilipanga twende lodge flani tu hapa hapa mtaani. Mahesabu yangu yalikua ni gharama za Lodge 20k, na bia mbili mbili elfu 8, elfu 2 inayobaki ningempa nauli ya boda kurudia kwake.

Cha ajabu yeye kaniijia na story zingine eti lodge za mtaani kwetu hazitaki, anataka za mbali huko ambako kwa mahesabu yangu ya kihasibu niliyoyapiga naona kabisa 100k inaenda kukatika. Imebidi nimuambie tu tufanye siku nyingine.

Ni sahihi kweli mwanamke kumchagulia mwanaume sehemu ya kutiania wakati yeye hachangii hata mia?
 
Huku kwetu ni kufanyana tu,
20260615_164716.jpg
hatuna mambo mengi....😋
 
Ukiona hivyo loji za hapo mtaani kamaliza zote kwa kupelekwa na wanaume wengine.
So anakwepa kuonekana zoazoa kwa wahudumu wa hizo loji.

Kuwa muwazi, mwambie bajeti yako haikidhi huenda nae akachangia gharama mbona utamu wote mnaenda ku feel.
 
Amani ya bwana iwe nanyi!
Kuna mwanamke nilikua na appointment nae ya kwenda kusex leo,mimi kwa bajeti yangu ya elfu 30,nilipanga twende lodge flani tu hapa hapa mtaani..mahesabu yangu yalikua ni gharama za Lodge 20k,na bia mbili mbili elfu 8,elfu 2 inayobaki ningempa nauli ya boda kurudia kwake..
Cha ajabu yeye kaniijia na story zingine eti lodge za mtaani kwetu hazitaki,anataka za mbali huko ambako kwa mahesabu yangu ya kihasibu niliyoyapiga naona kabisa 100k inaenda kukatika..imebidi nimuambie tu tufanye siku nyingine.
Ni sahihi kweli mwanamke kumchagulia mwanaume sehemu ya kutiania wakati yeye hachangii hata mia?

Dah!
Sasa buku 2 kweli ndio ya kumpa mdada?.
Alaf bia 2 anakunywa nani? Ww au yeye?.

Panga siku ingine. Jazia hela.
Uende huko anakotaka. Atakuwa na aman zaid na utelezi atatoa.
 
Amani ya bwana iwe nanyi!
Kuna mwanamke nilikua na appointment nae ya kwenda kusex leo,mimi kwa bajeti yangu ya elfu 30,nilipanga twende lodge flani tu hapa hapa mtaani..mahesabu yangu yalikua ni gharama za Lodge 20k,na bia mbili mbili elfu 8,elfu 2 inayobaki ningempa nauli ya boda kurudia kwake..
Cha ajabu yeye kaniijia na story zingine eti lodge za mtaani kwetu hazitaki,anataka za mbali huko ambako kwa mahesabu yangu ya kihasibu niliyoyapiga naona kabisa 100k inaenda kukatika..imebidi nimuambie tu tufanye siku nyingine.
Ni sahihi kweli mwanamke kumchagulia mwanaume sehemu ya kutiania wakati yeye hachangii hata mia?
Siku zote unapoona mkwanamke anakuchagulia lodge unayopaswa uende nae....JUA YA KWAMBA NI MAENEO ALIYOYAZOEA! SO..NI KAZI YAKE HIYO...

Nadhani kama wewe ni muhenga...umenielewa nilichomaanisha hapa.
 
Back
Top Bottom