kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,511
- 4,369
Itakuwa anapendelea usiri (privacy). Tafuta ya bei unayoweza mbaliNi sahihi kweli mwanamke kumchagulia mwanaume sehemu ya kutiania wakati yeye hachangii hata mia?
Hii nayo ni pointUkiona hivyo loji za hapo mtaani kamaliza zote kwa kupelekwa na wanaume wengine.
So anakwepa kuonekana zoazoa kwa wahudumu wa hizo loji.
Kuwa muwazi, mwambie bajeti yako haikidhi huenda nae akachangia gharama mbona utamu wote mnaenda ku feel.
Amani ya bwana iwe nanyi!
Kuna mwanamke nilikua na appointment nae ya kwenda kusex leo,mimi kwa bajeti yangu ya elfu 30,nilipanga twende lodge flani tu hapa hapa mtaani..mahesabu yangu yalikua ni gharama za Lodge 20k,na bia mbili mbili elfu 8,elfu 2 inayobaki ningempa nauli ya boda kurudia kwake..
Cha ajabu yeye kaniijia na story zingine eti lodge za mtaani kwetu hazitaki,anataka za mbali huko ambako kwa mahesabu yangu ya kihasibu niliyoyapiga naona kabisa 100k inaenda kukatika..imebidi nimuambie tu tufanye siku nyingine.
Ni sahihi kweli mwanamke kumchagulia mwanaume sehemu ya kutiania wakati yeye hachangii hata mia?
π fasta tu hata mia haipoteiHuku kwetu ni kufanyana tu,View attachment 3628940 hatuna mambo mengi....π
Siku zote unapoona mkwanamke anakuchagulia lodge unayopaswa uende nae....JUA YA KWAMBA NI MAENEO ALIYOYAZOEA! SO..NI KAZI YAKE HIYO...Amani ya bwana iwe nanyi!
Kuna mwanamke nilikua na appointment nae ya kwenda kusex leo,mimi kwa bajeti yangu ya elfu 30,nilipanga twende lodge flani tu hapa hapa mtaani..mahesabu yangu yalikua ni gharama za Lodge 20k,na bia mbili mbili elfu 8,elfu 2 inayobaki ningempa nauli ya boda kurudia kwake..
Cha ajabu yeye kaniijia na story zingine eti lodge za mtaani kwetu hazitaki,anataka za mbali huko ambako kwa mahesabu yangu ya kihasibu niliyoyapiga naona kabisa 100k inaenda kukatika..imebidi nimuambie tu tufanye siku nyingine.
Ni sahihi kweli mwanamke kumchagulia mwanaume sehemu ya kutiania wakati yeye hachangii hata mia?
Mkuu una hesabu kali sana..mahesabu yangu yalikua ni gharama za Lodge 20k,na bia mbili mbili elfu 8,elfu 2 inayobaki ningempa nauli ya boda kurudia kwake..
Bia kila mmoja mbili..Dah!
Sasa buku 2 kweli ndio ya kumpa mdada?.
Alaf bia 2 anakunywa nani? Ww au yeye?.
Panga siku ingine. Jazia hela.
Uende huko anakotaka. Atakuwa na aman zaid na utelezi atatoa.
Alaf sikuhizi bia ni 2,500/= na sehem nyingne 3k.Bia kila mmoja mbili..
Kiuchumi yupo sahihi sanaTafuta pesa kijana mwenzangu.
Elfu 30 ni hela kweli?