Hivi ni sahihi mwanamke kukupangia sehemu ya kwenda kugegedeana?

Kitu ambacho kilishanishinda ni kujipigia mahesabu kwenye starehe...
Hata kama nikipiga hesabu lazima pesa ya ziada iwepo..
Ila Muhimu ceiling budget iwepo.

Si umeona yule mwana kauza laptop ya mwana kwa 300k . Alaf akaenda kuvimba Bar na tmr kaamka na 120k na Fame pemben.😊😊😊😊
 
Huyo mwanamke kama ni mnywaji ilipaswa ampe bia hata za 20K mpaka aache mwenyewe kwa hizo bei zake za 2000 kila moja..

Nauli ampe walau 10K..
Hesabu ikiwa kali sana napo hio si starehe..
Ni kweli.
Bia 2 mwanamke hawez pata nyege wala kufanya BJ.

Jamaa atakutana na Jagina kavu kweli kweli. Na ushirikiano 0%. Aibu haijatoka hapa. 😊😊😊😊
 
Ila Muhimu ceiling budget iwepo.

Si umeona yule mwana kauza laptop ya mwana kwa 300k . Alaf akaenda kuvimba Bar na tmr kaamka na 120k na Fame pemben.😊😊😊😊
Ambacho hufanya ni kuchukua tu pesa ambayo naweza kuimudu kuipoteza kwenye starehe....

Nikifika huko itajulikana nakunywa ngapi.. au wine , whiskey ama beer tokana na vibe..
 
Ni kweli.
Bia 2 mwanamke hawez pata nyege wala kufanya BJ.

Jamaa atakutana na Jagina kavu kweli kweli. Na ushirikiano 0%. Aibu haijatoka hapa. 😊😊😊😊
Hata siku nyingine akimuita haendi..

Kuna namna ukimjali hata siku nyingine anakukumbuka anakutafuta mwenyewe...
 
Kwa hesabu ulizopiga nakushauri achana na wanawake kwanza tafuta kipato kaka. Ukisikia upwiru nenda kanunue wale wa kuinamisha, kisha mbele
 
Yupo sahihi sana kulingana na value aliojipa.

ni muhimu kujiongeza kidogo kiuchumi gentleman πŸ’
 
Mbona hamna bajeti ya kula πŸ˜‚
2000 ya nauli...........
Pesa ya matumizi akirudi nyumbani je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…