Kua kwanza ndio uchangie madaNimemaliza la saba mwaka 2005.
Madarasa ya mitihani kama la 4 na 7 walikuwa wanaanza kusoma saa 12 asbh, siyo kufika! Hapana! Yani saa 12 kamili mwalimu yuko darasani.
Na kwa wale vichwa walimu wakatufanyia mpango tukawa tunajisomea mpaka usiku.
Sasa mkuu wewe kinachokushangaza ni nini? Tuwaache walimu wafanye kazi zao kwa uhuru!
Wewe kama hautaki, basi nenda shule kajicommit kimaandishi ili mwanao awe anaenda shule muda unaotaka wewe.
Sawa mwalimu, nitakuja kukwambia asiende kabisaWe mwambie mwalimu amruruhusu mwanao saa 4 asubuhi
Huyu jamaa ni low scoreπWe mwambie mwalimu amruruhusu mwanao saa 4 asubuhi
Nenda katibiwe machoKua kwanza ndio uchangie mada
Wa kwangu anaenda saa 12 mpaka saa 4 usiku, darasa la saba.Kuna tabia inakomaa ya wanafunzi hasa kwa Dar kwenda shule saa 12 asubuhi na kutoka 12 jioni, awali tabia hii ilikuwa kwa shule za kulipia za watu binafsi ikawa inapigiwa kelele ila sasa naona hata za Serikali zinafanya hivyo.
Wengi wanaweka sababu kuwa wanawaandaa watoto kwa mitihani ya Taifa, swali langi ni je, Wizara ya elimu imeruhusu muda huo au ni matakwa ya shule fulani fulani tu?
Katika mazingira hayo hayo kwa shule za Serikali wapo wazazi wasioweza kulipia chakula kila siku kwa ajili ya watoto kwenye huo mpango wa wazazi kuchangia watoto wale shule hivyo inamlazimu mtoto kushinda njaa siku nzima mpaka 12 jioni na kama anakaa mbali kidogo hadi afike nyumbani ni saa moja!
Ina maana elimu ya msingi imekuwa ngumu kiasi hicho mpaka watoto washinde shule kutwa nzima na hata siku ya Jumamosi wanalazimishwa kwenda kwa masaa hayo hayo.
Kwa upande wangu naona kuna tatizo ambalo inabidi Wizara iliangalie ili watoto waone kusoma siyo adhabu ukizingatia wanarudi usiku na mzigo mzigo wa begi la madaftari mengi sana mpaka wanafika wanaomba kunyooshwa mabega kwa maumivu ya kubeba kaunta zaidi ya 12 kila siku na kushindwa shule kutwa nzima mpaka usiku.
Nilivyosoma jina lako haraka haraka nikajua mafwele. Vipi wakati wewe unasoma shule ya msingi hali ilikuwaje?Kuna tabia inakomaa ya wanafunzi hasa kwa Dar kwenda shule saa 12 asubuhi na kutoka 12 jioni, awali tabia hii ilikuwa kwa shule za kulipia za watu binafsi ikawa inapigiwa kelele ila sasa naona hata za Serikali zinafanya hivyo.
Wengi wanaweka sababu kuwa wanawaandaa watoto kwa mitihani ya Taifa, swali langi ni je, Wizara ya elimu imeruhusu muda huo au ni matakwa ya shule fulani fulani tu?
Katika mazingira hayo hayo kwa shule za Serikali wapo wazazi wasioweza kulipia chakula kila siku kwa ajili ya watoto kwenye huo mpango wa wazazi kuchangia watoto wale shule hivyo inamlazimu mtoto kushinda njaa siku nzima mpaka 12 jioni na kama anakaa mbali kidogo hadi afike nyumbani ni saa moja!
Ina maana elimu ya msingi imekuwa ngumu kiasi hicho mpaka watoto washinde shule kutwa nzima na hata siku ya Jumamosi wanalazimishwa kwenda kwa masaa hayo hayo.
Kwa upande wangu naona kuna tatizo ambalo inabidi Wizara iliangalie ili watoto waone kusoma siyo adhabu ukizingatia wanarudi usiku na mzigo mzigo wa begi la madaftari mengi sana mpaka wanafika wanaomba kunyooshwa mabega kwa maumivu ya kubeba kaunta zaidi ya 12 kila siku na kushindwa shule kutwa nzima mpaka usiku.
Miaka hiyo mlikua mnaanza shule mijitu mizima, mshabalehe,Nimemaliza la saba mwaka 2005.
Madarasa ya mitihani kama la 4 na 7 walikuwa wanaanza kusoma saa 12 asbh, siyo kufika! Hapana! Yani saa 12 kamili mwalimu yuko darasani.
Na kwa wale vichwa walimu wakatufanyia mpango tukawa tunajisomea mpaka usiku.
Sasa mkuu wewe kinachokushangaza ni nini? Tuwaache walimu wafanye kazi zao kwa uhuru!
Wewe kama hautaki, basi nenda shule kajicommit kimaandishi ili mwanao awe anaenda shule muda unaotaka wewe.
I second youMiaka hiyo mlikua mnaanza shule mijitu mizima, mshabalehe,
Watoto wa siku hizi wanaanza shule wadogo sana kuwashindisha masaa yote hayo ni uonevu na kufanya mtoto asiipende shule.
na jumamosi ni amri waende,Tena na buku buku za walimuKuna tabia inakomaa ya wanafunzi hasa kwa Dar kwenda shule saa 12 asubuhi na kutoka 12 jioni, awali tabia hii ilikuwa kwa shule za kulipia za watu binafsi ikawa inapigiwa kelele ila sasa naona hata za Serikali zinafanya hivyo.
Wengi wanaweka sababu kuwa wanawaandaa watoto kwa mitihani ya Taifa, swali langi ni je, Wizara ya elimu imeruhusu muda huo au ni matakwa ya shule fulani fulani tu?
Katika mazingira hayo hayo kwa shule za Serikali wapo wazazi wasioweza kulipia chakula kila siku kwa ajili ya watoto kwenye huo mpango wa wazazi kuchangia watoto wale shule hivyo inamlazimu mtoto kushinda njaa siku nzima mpaka 12 jioni na kama anakaa mbali kidogo hadi afike nyumbani ni saa moja!
Ina maana elimu ya msingi imekuwa ngumu kiasi hicho mpaka watoto washinde shule kutwa nzima na hata siku ya Jumamosi wanalazimishwa kwenda kwa masaa hayo hayo.
Kwa upande wangu naona kuna tatizo ambalo inabidi Wizara iliangalie ili watoto waone kusoma siyo adhabu ukizingatia wanarudi usiku na mzigo mzigo wa begi la madaftari mengi sana mpaka wanafika wanaomba kunyooshwa mabega kwa maumivu ya kubeba kaunta zaidi ya 12 kila siku na kushindwa shule kutwa nzima mpaka usiku.
Walimu wa Jf mshaitana..We mwambie mwalimu amruruhusu mwanao saa 4 asubuhi
Ilaumiwe formula iliyokuwa inatumika ya sifa ya kujiunga darasa la kwanza, ni lazima uwe na uwezo wa kushika sikio π πMiaka hiyo mlikua mnaanza shule mijitu mizima, mshabalehe,
Watoto wa siku hizi wanaanza shule wadogo sana kuwashindisha masaa yote hayo ni uonevu na kufanya mtoto asiipende shule.
Noma sana mkuu nimesoma watu wana ndevu zimekomaa balaaπIlaumiwe formula iliyokuwa inatumika ya sifa ya kujiunga darasa la kwanza, ni lazima uwe na uwezo wa kushika sikio π π
Mwanafunzi anafika darasa la VII, ameota ndevu kabisa na anajua kutumia Viwembe vyote π
Nina rafiki yangu, wakati tunaanza kidato cha kwanza alikuwa ameacha mke nyumbani kwao mwenye mtoto wa miezi kadhaa π
Miaka hii, mtoto anafika darasa la VII ama miaka 11, anamaliza kidato cha IV ana miaka 15 π
Hata kutongoza hajajua