Hivi ni sawa kushea mswaki na mpenzi wako mume au mkeo

Sijui kama ntakuwa nawakera ila nimemuona rafk yang jiran anapokea mswak aliotumi mpenziwe nayey kuutumia

AU NIACHE KUFATILIA MAMBO YA WATU?
Achana na mapenzi ya watu!



Ila kwangu, huyu mubaba anayepitisha ulimi mpaka sehemu zisizoweza kutajwa hadharani niogope kushea naye mswaki 🤣.

Kwa kawaida kila mmoja anao wa kwake, ila ikitokea umesahaulika mmoja basi huo utakaokuwepo tutatumia wote.

Cc Mbaga Jr
 
Demu wangu namnyonya mkungu ndo nishindwe kushare nae mswaki 😂
 
Wenyewe wanaona ndio mahaba mkuu
Watu mnakulana mate kushea mswaki mtashindwa.

Mimi siwezi asante🙌
Kuna vitu vikiwa katika form fulani vinafaa ila viki-change tu into another form havifai kabisa kwa mfano;
Wewe na mpenzio mnanyonyana ndimi na unafurahi, ila tukisema mate ya mpenzio yawekwe kwenye kikombe uyalambe utakataa abadani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…