- Thread starter
- #41
DuuDemu wangu namnyonya mkungu ndo nishindwe kushare nae mswaki
DuuDemu wangu namnyonya mkungu ndo nishindwe kushare nae mswaki
Sawa mkuu, endelea na kazi mkuu.Nitaugua kipindupindu lini mana mpaka sasa nna miaka 6 namnyonya tuu
Kama nyote niwaaminifu kwenye mahusiano yenu ruksa ila kama mmoja wenu au wote wawili mna michepuko ni hatari kwa afya yenuAchana na mapenzi ya watu!
View attachment 3694461
Ila kwangu, huyu mubaba anayepitisha ulimi mpaka sehemu zisizoweza kutajwa hadharani niogope kushea naye mswaki 🤣. Kwa kawaida kila mmoja anao wa kwake, ila ikitokea umeshaulika mmoja basi huo utakaokuwepo tutatumia wote.
Cc Mbaga Jr
Sawa mkuuHisia zikihemkwa akili huwa haifanyi kazi, kwa hiyo kama zako zinakuruhusu mkuu. Share tu huo mswaki ila kiafya sidhani kama ni sawa.
Nambie lini nitauguaSawa mkuu, endelea na kazi mkuu.
Sio jambo baya kama mwenza wako ni muaminifu ila ni mbaya kama mwenza wako ana mchepuko au michepukoNauliza kwakuw me sijaoa mkuu cku nisijeachwa kisa sijampa mswak wang
Huwa sitii viungo sex.Kwahiyo hupendi kudendeka?😁
Possibility ya kupata wayaN madhara gn mtu anaweza kupata akisex na mtu na je n madhara gn mtu anaweza kupata akishare mswaki?
Kwahiyo wewe romance hupendi au unafanya kulingana na mtu?Huwa sitii viungo sex.
Ni mwendo wa lala nikurenge
Mkuu siyo kwamba hujui mahaba?Wengine hata midomo hatushare sembuse mswaki.
Sijawahi kufanya naona kinyaaKwahiyo wewe romance hupendi au unafanya kulingana na mtu?
Si mtachubuana maana utelezi hakuna.Huwa sitii viungo sex.
Ni mwendo wa lala nikurenge
Ndiyo si nakujua 🤣 🤣 🤭Pia ndo lengo lako la kuniita ili usikie hvy 😂
Nimekubali vingine vinipiteMkuu siyo kwamba hujui mahaba?
Parachute muhimuSi mtachubuana maana utelezi hakuna.
Hapana mkuu Vp kama siyo mwaminifu akaja na mdomo wake umetoka kunyonya dudu ya mchepukoHisia zikihemkwa akili huwa haifanyi kazi, kwa hiyo kama zako zinakuruhusu mkuu. Share tu huo mswaki ila kiafya sidhani kama ni sawa.
Basi ujawahi kupenda mamaSijawahi kufanya naona kinyaa
Tunataka natural lubricant, sio hiyo artificial.Parachute muhimu
Siyo kwamba hujui mahaba mkuu??Mimi hata kushea mswaki na mimi wa jana ni kwakuwa tu uchumi unalazimu!
Ndio maana nikasema ni wewe na akili yako itakavyotaka. Mwisho wa siku, mambo ya faraghani hayashauriki kwa sababu kila mtu anafanya vile anavyoona ni sawa.Hapana mkuu Vp kama siyo mwaminifu akaja na mdomo wake umetoka kunyonya dudu ya mchepuko