APEFACE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 6,278
- 12,584
Kwahiyo hupendi kudendeka?šWengine hata midomo hatushare sembuse mswaki.
Kwahiyo hupendi kudendeka?šWengine hata midomo hatushare sembuse mswaki.
Niamini mm mkuu šHii ni mpya in town š
Nauliza kwakuw me sijaoa mkuu cku nisijeachwa kisa sijampa mswak wangKwamba mmeona kubadilishana vikojolea haitoshi ? Binadamu tunahangaika kinoma! Waambie ebola imefika kenya.
Pia ndo lengo lako la kuniita ili usikie hvy šNilijua tu lazima uje ukitaje hicho kiungo chako pendwa 𤣠š¤£
Mahaba niue itakuwa ndo hii mkuuAiSee ! Hata kama ni sawa ! Kwani mswaki ni bei gani?
Watu wanashare magari nyie mnashare miswaki?
Kataa umasikini
Au ndo mapenzi?
Unahisi au unapata hisia gani ya msisimko mpenzi wako anapotumia mswaki wako?
Ujinga mtupu
N madhara gn mtu anaweza kupata akisex na mtu na je n madhara gn mtu anaweza kupata akishare mswaki?Si sahihi kiafya kushirikiana mswaki mmoja na mpenzi wako, hata kama mpo karibu kiasi gani
Utaugua kipindupindu mkuu. Acha hiyo tabia.Demu wangu namnyonya mkungu ndo nishindwe kushare nae mswaki š
Kwamba wanapendana sana hatarFuatilia rafiki yako, sijui jirani ipo siku mmoja kati yao akifa ataliwa nyama, yaani atageuzwa mboga asipowahiwa.
Save hii comment yangu, huwa sikosei kutabiri.
It's not about bei ya mswaki, it's about sharing for ā¤ļøAiSee ! Hata kama ni sawa ! Kwani mswaki ni bei gani?
Siyo sawaHii ni mpya in town š
Hatar sana hiiNi ngumu kumeza.
Nitaugua kipindupindu lini mana mpaka sasa nna miaka 6 namnyonya tuuUtaugua kipindupindu mkuu. Acha hiyo tabia.
Jichanganye!Nauliza kwakuw me sijaoa mkuu cku nisijeachwa kisa sijampa mswak wang
Ila huyo huyo unashare nae kikojoleo na mdomo, sasa hapo risk kubwa ipo upande gani vs mswaki?Wenyewe wanaona ndio mahaba mkuu
Watu mnakulana mate kushea mswaki mtashindwa.
Mimi siwezi asanteš
Mim n mgen kweny tasnia mkuuNdio umevamia mapenzi awamu hii ya sitaaa mkuu..
Kesho tena uje uulize n vyema mwanaume kunyonya mbususu ya mkewee..
Vip kama akiw na mchepuko alaf nae ananyonywa unaponyonyeagaAchana na mapenzi ya watu!
View attachment 3694461
Ila kwangu, huyu mubaba anayepitisha ulimi mpaka sehemu zisizoweza kutajwa hadharani niogope kushea naye mswaki
Kushare sio jambo baya kama nyote ni waaminifuWengine hata midomo hatushare sembuse mswaki.
LabdaChangamoto ya afya ya akili