Hivi ni sawa kushea mswaki na mpenzi wako mume au mkeo

Hivi ni sawa kushea mswaki na mpenzi wako mume au mkeo

Sio jambo baya kama mwenza wako ni muaminifu ila ni mbaya kama mwenza wako ana mchepuko au michepuko
Mpaka sasa nishaamin dunia ya leo kujihakikishia kwmb hana mchepuko ni hatar.

Wapo waliooa bikra lakn wamegeuka malaya wa kiwango cha kitaifa
 
Ndio maana nikasema ni wewe na akili yako itakavyotaka. Mwisho wa siku, mambo ya faraghani hayashauriki kwa sababu kila mtu anafanya vile anavyoona ni sawa.

Na ukiyafikiria sana hayo hutoweza share hata vijiko na mashuka ya hotelini mkuu.
Ni kweli mkuu.
Ila kweny vijiko tunahitaj maombi hasa sis wa chakula cha buku jero darajan kwa mama kibonge
 
Sisi binadamu ni wa ajabu sana...
Unaona sawa kunyonyana mate, ila mnaona uchafu kuchangia mswaki...


Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom