Kuna haja ya kuwa na taasisi imara na sio kufata hisia za mtu mmoja, mbona marekani walimnyoosha Trump. Kufata matakwa ya mtu badala vision na future ya taifa ni hatari.Ni hatari sana yote haya yanafanyika kwa sababu ya upumbavu wa mtu mmoja tu.
Taasisi imara zitapatikanaje bila kuwa na watu wenye misismamo juu ya kile wanachokiamini ?Kuna haja ya kuwa na taasisi imara na sio kufata hisia za mtu mmoja, mbona marekani walimnyoosha trump. Kufata matakwa ya mtu badala vision na future ya taifa ni hatari
Yani kila Raisi anakuja na Mambo yake kichwani kwanini kusiwe na malengo ya kitaifa Raisi anapoishia mwingine anaendeleza sasa kila mtu kuja na hisia na maono yake badala ya national vision ni hatari. Maana aliyetoa hilo wazo hajui kuwa watu tumesoma Mambo ya nchi kwenye history and social scienceElimu inaendelea kuchezewa... Rais mwingine atakaye kuja kufuta hii mitaala.... Nakutoa maagizo mengine
Ndo hapo walioanzisha hili taifa walisahau maana walikipa chsma mamlaka na mwenyekiti nguvu kuliko taasisi. Taasisi zikiwa imara zinabana ukengeufu wa viongoziTaasisi imara zitapatikanaje bila kuwa na watu wenye misismamo juu ya kile wanachokiamini ?
Na vp huo mtaala washauandaa tayari?Naam masomo yatakuwa mawili, la mwanzo litabaki kama lilivyo na hili jipya litaitwa Historia Tanzania na ndilo litakalo fundishwa kwa kiswahili na litasheheni historia yetu tu kama Taifa.
Sasa kwann wasinge rekebisha somo la history na kuliongezea content za historia ya Tz?Halijafutwa kama nilivyoeleza, lipo pale pale ila lile limebeba mambo mengi ya mataifa tofauti duniani.
Hili la sasa ni kwa ajili ya kujifunza historia yetu kabila mpaka kabila, mazingira yetu, asili yetu na yote ambayo yalipotea bila kufundishwa popote.
Mimi naamini watanzania ndiyo wenye matatizo zaidi kuliko hata taasisi zenyewe.Ndo hapo walioanzisha hili taifa walisahau maana walikipa chsma mamlaka na mwenyekiti nguvu kuliko taasisi. Taasisi zikiwa imara zinabana ukengeufu wa viongozi
Pamoja na CCM...Piga hua kwenye huo mtaala na jiwe atakuwemo kwenye historia
Anachokitaka jiwe kwenye hili somo ni yeye na ccm kujaza content ya somo lote.Yani kila Raisi anakuja na Mambo yake kichwani kwanini kusiwe na malengo ya kitaifa Raisi anapoishia mwingine anaendeleza sasa kila mtu kuja na hisia na maono yake badala ya national vision ni hatari. Maana aliyetoa hilo wazo hajui kuwa watu tumesoma Mambo ya nchi kwenye history and social science
Sasa watanzania watafanya nini wakati wenye power ndo wanaamua, ka madudu ya uchaguzi yalifanyika bila aibu Raia wangefanyaje na hawana jeshi. Nikuomba tu kupata viongozi wenye akili kutoka kwenye hii jamii iliyokuwa polluted.Mimi naamini watanzania ndiyo wenye matatizo zaidi kuliko hata taasisi zenyewe.
Watanzania hatuna tunachokiamini na hatuna tunachosimamia.
Kifupi watanzania ni wanafiki tu.
Labda wanataka kurudisha Mambo ya ccm Kama zamani ilikuwa lazima usome Mambo ya ccm kusifia fikra za mwenyekiti zidumu mileleAnachokitaka jiwe kwenye hili somo ni yeye na ccm kujaza content ya somo lote.
A pure sign of a dictator.
Time will tell.
[emoji1][emoji1]Piga hua kwenye huo mtaala na jiwe atakuwemo kwenye historia
Anachokitaka jiwe ni yeye kusomwa kwenye hiyo historia kama alama ya nchi.Labda wanataka kurudisha Mambo ya ccm Kama zamani ilikuwa lazima usome Mambo ya ccm kusifia fikra za mwenyekiti zidumu milele
Mkuu somo la historia la sasa lina content zote muhimu za historia ya Tanzania, na waalimu wabobezi wanasema liko poa kabisa. Kama kuna kasoro au maboresho basi hilo ni suala la wadau wa elimu kupendekeza, na sio presha za wanasiasa.Sasa kwann wasinge rekebisha somo la history na kuliongezea content za historia ya Tz?
Daah yani mwanafunzi wa PCB anaongezewa somo la historia ya Tz, kwann hiyo historia ya Tz isingewekwa kwenye somo la GS?
Aliyeleta huo ufala alikuwa ni Mkenya mmoja akiitwa Mungai kama sikosei. Aliunganisha masomo kibao na kufuta mengine. Yaani wizara muhimu pengine kuliko zote imegeuzwa kuwa shamba la bibi. Kila waziri anayekuja anakuja na lake. Akaja Kawambwa na naibu wake bomu aliyetoa kali kwenye kongamano huko Afrika Kusini kwa kudai eti Tanzania is a union of Tanganyika and Zimbabwe. Alikuwa akiitwa Mgulu nadhani.Serikali inataka sasa wazazi waanze kupelela watoto Kenya kusoma Kama zamani. Nikiwa form one tulianza kusoma physics with chemistry
Jamani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Anachokitaka jiwe ni yeye kusomwa kwenye hiyo historia kama alama ya nchi.
Jiwe ni mpuuzi sana
Mulugo na sasa hivi karudi tena bungeniAliyeleta huo ufala alikuwa ni Mkenya mmoja akiitwa Mungai kama sikosei. Aliunganisha masomo kibao na kufuta mengine. Yaani wizara muhimu pengine kuliko zote imegeuzwa kuwa shamba la bibi. Kila waziri anayekuja anakuja na lake. Akaja Kawambwa na naibu wake bomu aliyetoa kali kwenye kongamano huko Afrika Kusini kwa kudai eti Tanzania is a union of Tanganyika and Zimbabwe. Alikuwa akiitwa Mgulu nadhani.
Mfumo mzima wa hii elimu uchwara unatakiwa kufumuliwa na hili linapaswa kushirikisha wadau wote muhimu - wazazi, walimu, wanafunzi, wataalamu wa mitaala, wachumi na hata sisi watu wa mitaani tuliokomea la saba. Hii kukurupuka tu kwa maagizo ya wanasiasa hatutafika po pote.