Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yawezekana kwenye kampeni hali ikaachia sio kwenye ofisi za umma tu hata huku kitaa kumekaza ni km kazi haziendi yani,Kwahiyo hivi hivi hadi Nov 2025?
Unaweza kuwa na koma moja ila hapo kati kuna marupurupu ya ziada ambayo ukichanganya na salary yataongeza idadi ya koma.Mshahara ukiwa na koma (,) moja umetusua?
Of course ni hela hamna, mi Nadai hela za tangu November mwaka jana,Hii mifumo inazingiziwa mkuu. Kuna shida pahala.
Mpaka kesho nashindwa kuelewa wazazi waliwezaje, Mimi nlikuwa najua mshahara wa mzeee kipindi hiko aiseee na mambo mengi na yalienda bila shida....Ile hela aliyokua analipiwa mi ndani ya wiki mbili napata mara mbili yake lakini maisha naishi sasa😂😂😂mpaka nakwepa kukutana na ndugu😅😅😅😅😅 pole ndiyo ukubwa huo, unakumbuka wazazi wako, ukiwa mdogo. Ukiomba hela, wanasema hawana ndiyo hivi 😊😊😊
By the way, Taasisi gani hiyo imefulia hivyo?
Aisee, mi nishavsurugwa hadi dogo tu imebidi nimrudishe kwanza home.Mpaka kesho nashindwa kuelewa wazazi waliwezaje, Mimi nlikuwa najua mshahara wa mzeee kipindi hiko aiseee na mambo mengi na yalienda bila shida....Ile hela aliyokua analipiwa mi ndani ya wiki mbili napata mara mbili yake lakini maisha naishi sasa😂😂😂mpaka nakwepa kukutana na ndugu
Ni kuendelea kunywa mchuzi chini kuna nyamaYawezekana kwenye kampeni hali ikaachia sio kwenye ofisi za umma tu hata huku kitaa kumekaza ni km kazi haziendi yani,
Zitalipwa. Inakua kama deni, kabla ya December watakua wameshalipa.Uwa zinalipwa au ndio mwaka wa fedha ushapita?
Wazee wamebana sababu ya uchaguzi,
Sure ndo maana huwezi kuzipangilia hizo hela. Mi zikitoka ni kuzitumbua!Ila wanakera sana. Ile mzuka wa kazi umeisha kabisa.