Hivi ni Taasisi yetu tu au Taasisi zote za Umma pesa imekua ngumu kwa Wafanyakazi?

😅😅😅😅😅 pole ndiyo ukubwa huo, unakumbuka wazazi wako, ukiwa mdogo. Ukiomba hela, wanasema hawana ndiyo hivi 😊😊😊
By the way, Taasisi gani hiyo imefulia hivyo?
Mpaka kesho nashindwa kuelewa wazazi waliwezaje, Mimi nlikuwa najua mshahara wa mzeee kipindi hiko aiseee na mambo mengi na yalienda bila shida....Ile hela aliyokua analipiwa mi ndani ya wiki mbili napata mara mbili yake lakini maisha naishi sasa😂😂😂mpaka nakwepa kukutana na ndugu
 
Aisee, mi nishavsurugwa hadi dogo tu imebidi nimrudishe kwanza home.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…