Hivi ni upinzani ukichukua nchi amani itavunjika au CCM ikinyang'anywa madaraka italeta machafuko?

Wakuu habari

Miongoni mwa propaganda iliyopitwa na wakati lkn Bado inatumiwa sana na Wana CCM ni hii. Kwamba upinzani ukichukua nchi utaleta machafuko...
Habari ya Upinzani kuongoza/kuchukua nchi ni NDOTO ya MWENDAWAZIMU!!

Huu uzi umeshapoteza maana!! Anzisha mwingine
 
Wakuu habari

Miongoni mwa propaganda iliyopitwa na wakati lkn Bado inatumiwa sana na Wana CCM ni hii. Kwamba upinzani ukichukua nchi utaleta machafuko...
Amka usingizini kumekucha! Upinzania hakuna mwenye calibre ya kuongoza hii nchi.

Hata yeye mwenyewe atashangaa na hana hizo ndoto. Nyerere alisema "I can't leave my country to dogs" Hence, elewa huo ndio msimamo, this country cannot be left to dogs!
 
Kwani upinzani Sio watanzania?
 
Back
Top Bottom