Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Lisaa....masaa....hii umeingia ndani mno....
Saa moja....saa tano
Mtihani kwa mfano, tunafanya kwa masaa mawili au saa mbili?
Haya tuendelee, Hivi ipi ni sahihi, Ovyo au hovyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lisaa....masaa....hii umeingia ndani mno....
Saa moja....saa tano
Sisi wa huku bk r na l ni shida kidogo mtuvumilie.. hivi ni chakura au chakula?
Mie nafikiri tuanze VITA ya kuwakosoa watu kama hao hapa JUKWAANI ili wajirekebishe..
Tena mie naanzisha hiyo Team sasa hivi....
#TeamRekebishaLugha
Sasa masai dada huyu unamwitaje?
Never give up sasa wewe utakuwa makamu mwenyekiti wa #TeamRekebishaLugha haya rekebisha hapo tuelewane kwa niaba ya mwenyeketi
Kutibuwa=kutibua.
Huwa nachukia sana ninaposoma na kukutana na maneno haya
Lula badala ya Rula
Mologolo-morogoro
Foreni-Foleni
Ugari-Ugali
Kula-Kura
Nimekuwa nikijiuliza tatizo ni nini kwa watu kama hawa
Nashauri tuanze kuwapiga vita kuboresha lugha yetu ya kiswahili
Tulipiga vita X kuwa S na tumefanikiwa
Kuna mkuu anaitwa LEGE kaanzisha topic anaandika ABILIA wa makongo,Kaaribu utamu wa UZI jirekebishe MKUU
Usichukie mkuu LEGE hapa ni sehemu ya kurekebishana jombaa!
Inawezekana ni watu wavivu wa kubadilika huwezi kuwa kiongozi mkubwa wa nchi then unatumia kuongea au kuandika kwa mfano niliotoa hapo juu.
Kichuguu,
wakati tunapata uhuru mengi yalisemwa na kweli tulikuwa hatupo tayari kwa sababu waafrika wengi tulikuwa hatufahamu nini maana ya Uhuru.. leo hii inaonyesha wazi. Nyerere aliyajua yote haya na ndio maana ilipovumbuliwa gas na mafuta miaka ya 70's na mwanzo 80's Nyerere alidai ziachwe huko chini ardhini kwa sababu watu wangu hawana elimu wala uwezo wa ku-deal na mali kama hiyo. Wote wataacha kufanya kazi kwa sababu utajiri umepatikana!...Kwa mwafrika utajiri ndio maendeleo yenyewe.
TZ tunayo mafuta na wala msije danganywa!
Nyerere hakufahamu tu kuwa mbali na elimu tulikuwa bado na akili za kitumwa na hadi leo bado hatujaelemika zaidi ya elimu ya kitumwa!...Sasa Tazara nayo itauzwa kwa mpango gani hali ni mali ya jumuiya?... Zambia wapo radhi?... jamani mweee!...mimi nipeni hiyo Tazara club tosha kabisa nitafunga domo langu.kwi..kwi...kwi...
Kichuguu sii Mlima, nenda kwenye mada ya Idriss Rashid, leo nimeweka orodha ya viongozi walioshiriki kuipitisha IPTL kisha nambie kabaki nani?... na list itaendelea kesho. Kila unayemfikiria kuwa msomi mzuri utamshangaa ktk maamuzi.. JK, Mwinyi na Mkapa ndani mshikaji sasa hapa kweli tutafika?