Hivi ni Vitu Vinavyotofautisha Kampuni na Business name

Hivi ni Vitu Vinavyotofautisha Kampuni na Business name

Luhamba II

Senior Member
Joined
Mar 22, 2025
Posts
137
Reaction score
219
1. Umiliki
Kwa Sheria za kwetu hapa Kampuni ni lazima iwe na Wamiliki kwanzia wawili na kuendelea.
Hawa huitwa shareholders au wanahisa.

Lakini kwenye jina la biashara anaweza kua mtu mmoja anaumilikj wa asilimia 100.

2. Watendaji
Kwenye Kampuni lazima kuwe na watendaji wakuu yaan directors kwanzia wawili.

Secretary pia ni mtendaji wa muhimu na lazima awepo ili Kampuni ifunguliwe.

Kwa upande wa jina la biashara Mmiliki anaweza kua ndiye mtendaji pekee na asihitaji secretary.

3. Documentation
Kampuni inahitaji documentations nyingi sana.
Wakati business name inahitaji document moja tuu consolidated form.

Hey, naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe kusajili biashara leseni, Kampuni na Trademarks.

Kama unahitaji consultation zaidi kuhusu usajili wa jina la biashara, Kampuni, trademark au leseni unaweza kunitumia ujumbe WhatsApp kupitia namba hizi

0678131068

Your Favorite Lawyer.
 
Back
Top Bottom