Nimejaribu kila njia kueleza hisia zangu kwa member wa hapa JF lakini naona mwenzangu ni kama vile haoni jitihada zangu sijui nifanye nini zaidi ya hapa, inauma sana unapompenda mtu lakini yeye mawazo yake hayapo kwake
AshaDii jamani mbona mie ni muelewa tu
Kuna mbinu moja utakuwa umeisahau, ebu ijunguze alafu uitumie!
Simpatii picha huko aliko huyu mdada wa watu anavolia!! Yaani TF matongozo yote hayo lakini kala bati dah!! Vikishindikana vyote hivyo basi bwana mdogo ale kipapai mbwiiiiiiiiiiiiiiiiii........kwenye pochi ya jux, kudadeeeeeki hatoki!!!
Jux
Komaa nae tu, mambo mazuri lazima uyahangaikie.
naomba kuuliza, kwan uyu Jux ni mwanamke?
thread imepata mwenyewe lol.....
mhhhhhhhhhhhhhh
mmmmh! Kipipi.
Aliwahi kurusha uzi hapa kutaja muhusika ila jamaa akapotezea, ndio namwambia akomae naeπ
Tunaweza kumsaidia kwa mistari if the need arise π
Habari ako mpendwa!Aliwahi kurusha uzi hapa kutaja muhusika ila jamaa akapotezea, ndio namwambia akomae naeπ
Tunaweza kumsaidia kwa mistari if the need arise π
The Boss unaguna nini?? We ujawahi ona inafikia kipindi mtu anataka kukata tamaa kabisa, anakumbuka kakitu kamoko tu na kanamuokoa!! Heheheee........!!
Habari ako mpendwa!
Kuhusu mistari nakuaminia, akihitaji nistue mimi na bht tuje tukusaidie korasi...
Aliwahi kurusha uzi hapa kutaja muhusika ila jamaa akapotezea, ndio namwambia akomae naeπ
Tunaweza kumsaidia kwa mistari if the need arise π
kinachonishangaza ni jinsi 'wamiliki wa mali husika' mnavyompa 'ushauri' wa kupata hiyo 'mali '
lol au mnamuingiza mkenge?????? lol
Jux
Komaa nae tu, mambo mazuri lazima uyahangaikie.