Hivi Nifanye Nini Ili Uelewe Nakupenda

Hivi Nifanye Nini Ili Uelewe Nakupenda

Nimejaribu kila njia kueleza hisia zangu kwa member wa hapa JF lakini naona mwenzangu ni kama vile haoni jitihada zangu sijui nifanye nini zaidi ya hapa, inauma sana unapompenda mtu lakini yeye mawazo yake hayapo kwake

Ongeza Speed Jux na mwisho utafanikiwa kile ukitakacho. Usikate tamaa mapema kiasi hicho. Kila la heri.



 
Last edited by a moderator:
Simpatii picha huko aliko huyu mdada wa watu anavolia!! Yaani TF matongozo yote hayo lakini kala bati dah!! Vikishindikana vyote hivyo basi bwana mdogo ale kipapai mbwiiiiiiiiiiiiiiiiii........kwenye pochi ya jux, kudadeeeeeki hatoki!!!

mmmmh! Kipipi.
 
Jux

Komaa nae tu, mambo mazuri lazima uyahangaikie.
 
jamani pole kumpenda mtu asiyekupenda ni sawa na kupoteza muda
dada usilazimishe unajiumiza wewe tu.
 
naomba kuuliza, kwan uyu Jux ni mwanamke?
 
Aliwahi kurusha uzi hapa kutaja muhusika ila jamaa akapotezea, ndio namwambia akomae nae🙂

Tunaweza kumsaidia kwa mistari if the need arise 🙂
Habari ako mpendwa!
Kuhusu mistari nakuaminia, akihitaji nistue mimi na bht tuje tukusaidie korasi...
 
The Boss unaguna nini?? We ujawahi ona inafikia kipindi mtu anataka kukata tamaa kabisa, anakumbuka kakitu kamoko tu na kanamuokoa!! Heheheee........!!

kinachonishangaza ni jinsi 'wamiliki wa mali husika' mnavyompa 'ushauri' wa kupata hiyo 'mali '
lol au mnamuingiza mkenge?????? lol
 
Aliwahi kurusha uzi hapa kutaja muhusika ila jamaa akapotezea, ndio namwambia akomae nae🙂

Tunaweza kumsaidia kwa mistari if the need arise 🙂

ndo maana nikasema 'thread imepata mwenyewe' lol
 
kinachonishangaza ni jinsi 'wamiliki wa mali husika' mnavyompa 'ushauri' wa kupata hiyo 'mali '
lol au mnamuingiza mkenge?????? lol

Aaaahh Boss!! Mimi hata wamiliki wenyewe siwajui jamani ndo maana namshauri! We acha kumkatisha tamaa mdada wa watu bana lol!!
 
...chapa lapa,na akikubalia yatakuwa mapenzi ya mema sipiyuu na daii....!!
 
Back
Top Bottom