Niambieni ni wapi nitapata mganga anayesafisha nyota, maana nahisi nina gundu... yaani sijawahi hata kutaniwa na mdada humu JF kuwa ananipenda!!! si hivi hivi, kuna kitu...
ahahaaaaaaaaaaaaaaahhehehehe bila shaka hapa nazungumziwa mimi.
maselebriti tuna bahati aisee!
mi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili ,nilikuwa na uhusiano wa kimapenzi na dada mmoja,alikuwa akinifanyia vituko sana kiasi cha kwamba alikua akinitukana sasa amefeli mtihani wa kidato cha 6,,ananipigia simu akiniomba msamaha wasomi wenzangu nifanyaje ?????
Nimejaribu kila njia kueleza hisia zangu kwa member wa hapa JF lakini naona mwenzangu ni kama vile haoni jitihada zangu sijui nifanye nini zaidi ya hapa, inauma sana unapompenda mtu lakini yeye mawazo yake hayapo kwake
Jux ni msichana....
i hope hii usefull info utaifanyia kazi lol
kiswahili kigumu.jitahidi labda uwaunajichanganya katika maongezi yako check ulivyoji mix kwenye hii statement yako.hapo dada lazima akupige chambavu ukaugulie kwenuinauma sana unapompenda mtu lakini yeye mawazo yake hayapo kwake
Njia ipi ambayo nimekosea jamani
Jamani husninyo, we hujaona watu wanaapply huo utraditional??? Hehehehehee mi nilikuwa natania tu mwaya!!
huyu tf bado hajaelewa mistari ya jux?! Dah, kweli kuna watu wagumu duniani.
mmh.....kwani TF ndo akitafutwa? makubwa....
halafu mpwa mbona unashangaa hapo bold?
Husninyo kumbe ni The Finest eheee, huyu jamaa aisee atawapa presha wadada wa humuhuyu tf bado hajaelewa mistari ya jux?! Dah, kweli kuna watu wagumu duniani.
Husninyo kumbe ni The Finest eheee, huyu jamaa aisee atawapa presha wadada wa humu
Sweetlady na Bebii wako wapi maana naona wamepata mpinzani lolhahahaha! Atampa presha jux tu. Wengine humu hatupresheki. Lol!
hahahaha! Atampa presha jux tu. Wengine humu hatupresheki. Lol!
Sweetlady na Bebii wako wapi maana naona wamepata mpinzani lol