Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hi!
Sasa wanaume tumebaki wachache. Hivi kuna ulazima gani mwanaume kufanya au kuishi kwa mitindo ya kike?
Mwanaume anasuka
Mwanaume anavaa hereni
Mwanaume anavaa suruali kama tight ya mwanamke
Mwanaume anavaa pensi fupi .
Mimi sasa nimepanga kumtongoza kijana wa kiume anayesuka au anayevaa hereni masikioni. Nitamwambia live kuwa nataka awe mke wangu.
Kama ataona kuwa sijamtendea haki akashitaki au tupigane.
Akienda kushitaki asisahau kwenda mahakamani na hereni zake.