Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatofaut gani na albinoMimi ni mzungu kabisa baba yangu ni mu Irish na mama anatokea Scotland hivyo ni mskochi Kama hamuami shauri yenu.
Mimi ni mzungu kabisa baba yangu ni mu Irish na mama anatokea Scotland hivyo ni mskochi Kama hamuami shauri yenu.
Usikute ni bongozozo
Kumbe ni bongozozo wa buza tu yule😁Usikute ni bongozozo
Kwa vile umesema wew ni mzungu hatuwezi amini ila tukikuona tutaamini sas we jisemee tu shauri yako.Mimi ni mzungu kabisa baba yangu ni mu Irish na mama anatokea Scotland hivyo ni mskochi Kama hamuami shauri yenu.
Zungu la ungaMzungu wa ngozi au wa roho?
Mmang'ati huyuKha! Mbona kama unalazimisha tukuamini mzungu wa bongo wewe[emoji16][emoji16]