Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Kama Professor Heichi anapata wakati mgumu namna hii vipi sisi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matumaini ya kuajiriwa yalishafifia japo naamini inaweza kutokea nikaajiriwa kwa sababu sifa ninazo.Tatizo limeanzia kwa kusoma ukiwa na malengo ya kuajiriwa,Je kichwani bado una matumaini ya kuajiriwa?
Nikiwa jijini DSM. Na wewe unakula mema ukiwa wapi ndugu yanguKwa hiyo saa hivi unaisoma namba ukiwa wapi
Pengine nyie mna nafuu. Nifungueni huu ubongo wangu ambao nahisi kama umelala, mlifikaje hapo mlipo ndugu zangu?Kama Professor Heichi anapata wakati mgumu namna hii vipi sisi?
Ngoja waje maana ubongo wangu hata password zake sizijui tenaPengine nyie mna nafuu. Nifungueni huu ubongo wangu ambao nahisi kama umelala, mlifikaje hapo mlipo ndugu zangu?
Aiseeh!Ngoja waje maana ubongo wangu hata password zake sizijui tena
Kama umewahi kuapply na kuitwa interviews na ukapiga lkn hukuitwa kwenye kazi Tena yamkini mara nyingi huenda ukawa na tatizoOk.
Yaani nikilinganisha muda wa miaka yote 8 nipo mtaani baada ya kuhitimu na hatua niliyopiga kimaendeleo hasa kutokuwa na ajira au shughuli binafsi yenye kipato cha kuridhisha au matumaini ya kuwa nayo.
Haya hayawezi kuwa yanatokana na madhaifu yaliyo ndani yangu? Je yanaweza kuwa madhaifu gani hayo?
[emoji3][emoji3][emoji3]Kwa hiyo saa hivi unaisoma namba ukiwa wapi
NakaziaSafisha Nyota.
Asitake kutafuta mchawiKuna wakati mambo huwa yanagoma tu...hata ufanyeje!! Na itafikia mahali yatafunguka yenyewe
Mkuu sijawahi kupata hela nyingi.Kama umewahi kuapply na kuitwa interviews na ukapiga lkn hukuitwa kwenye kazi Tena yamkini mara nyingi huenda ukawa na tatizo
Ikiwa umeshawahi pata Fedha za kutosha kiasi chake lkn hazijakusaidia chochote wala kukuvusha zikaishia kwenye anasa na pombe tu hapo utakuwa na shida
Ikiwa ulifanikiwa kupata kazi hata taasisi binafsi na yamkini baada ya mda mfupi tu ukapigwa chini yamkini una shida
Sasa tuanzie HAPA [emoji116]
Toka Umemaliza chuo ukaanza maisha ya kitaa kupanga chumba Kuna step yoyote umepiga? Ulianza let say kwa kulala chini, Je mpk sasa bado unalala chini? Kama ulifanikiwa kununua kitanda na godoro na vitu vya ndani You are some steps ahead
Bila Shaka Malengo yapo, Ni yapi?
Kupitia Hayo Malengo ndiyo utajua kuwa unapiga hatua ama Upo dormant.
Kama huna Malengo hapo hujapoteza chochote yaani hapo ulipo kwa sasa unastahili kabisa
Sijui kama utanielewa mkuu
We huwa unasafishaje ndugu yanguNakazia
Nyota nisafishie wapi mkuu? Kwa waganga hawa matapeli wa mjini? Au nielekeze wapi niende ndugu yangu.Kwanza.
Safisha nyota.
Andika CV yako vizuri (pengine CV haivutii).
Jifunze kujieleza/kuongea kwa makini.
Anza kuapply kazi ndogo ndogo ili kukuza Kujiamini.
Na Hiyo miaka mitatu uliyo mtaan andika kwa CV kuwa uko ofisi moja unafanya kazi.
Anza na hayo
Mkuu umeongea ukweli sana japo wengi tunaweza tusielewe.Ukweli mchungu Ni kua ili upate changes kubwa kwenye maisha yako inabidi Kuna dili moja kubwa ujipindue...lakini ukifanya vitu average...na maisha yako yatakua average
Kwa mtazamo wangu ni kwamba uko sawa tu sema kinachokupa presha ni hiyo miaka 8 unaiona mingi sana. Una imagine ndani ya hyo miaka ungekuwa mbali Sana. Usiendelee kufanya hiviMkuu sijawahi kupata hela nyingi.
Yes, nimepanga, kitanda ninacho na vifaa muhimu vya ndani vyote ninavyo.
Lakini hii inatosha mkuu kwa miaka 8 mtaani?
Malengo ninayo, lakini matumaini ya kuyafikia yanakuwa madogo.
Mkuu ebu nishauri nifanye nini ili nifungue zaidi ubongo wangu huu?