Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Achana na wanao kushauri ukasafishe nyota, waganga Wana tabia ya kuteka nyota na kuanza kuiendesha nafs yako , ukienda tu utafanikiwa hata miez 6 alaf baada ya hapo atakutengeneza ili urudi kilingeni ukatoe kafara tena hata Kama ni ya kuku kwakifupi waganga wanaharibu maisha ya watu ndo maana ukienda Mara moja hautaacha kirahisi.
Pambana kwa njia yako ongeza juhudi tu na uache kujilinganisha na watu wengine kwakua wapo ambao wanatamani hata kuwepo hapo ulipo wewe na hawawezi kwa Sasa.
Pambana kwa njia yako ongeza juhudi tu na uache kujilinganisha na watu wengine kwakua wapo ambao wanatamani hata kuwepo hapo ulipo wewe na hawawezi kwa Sasa.