Kwahiyo nifanyeje mkuuHuenda ni mambo ya kiroho yanayokukwamisha...
Asante sana mkuu, umenitia moyo sana. Ngoja nipambane. Nitakaa chini niandike mipango yangu upya kwa kurejea post yako hiiKwa mtazamo wangu ni kwamba uko sawa tu sema kinachokupa presha ni hiyo miaka 8 unaiona mingi sana. Una imagine ndani ya hyo miaka ungekuwa mbali Sana. Usiendelee kufanya hivi
Cha msingi don't lose FOCUS afe kipa afe beki. Life takes time to manifest. Kwamfano sasahivi huu mwaka tunaenda kumaliza. Hakikisha unakaa chini unaandika yale uliyo fanikisha ndani ya mwaka mzima, fafanua changamoto zilizokukwamisha then mwaka unaoanza set Malengo mapya na uya wekee Time limit Strictly
Kuajiriwa kama kumeshakua kugumu Plan kujiajiri tu na kujiajiri angalia ujikite wapi sekta zipo nyingi sana. Duka, yes ni biashara lakini itakuchelewesha mkuu. Angalia engo nyingine yeny kulipa zaidi mfano jikite kweny kilimo ama biashara ya mazao mfano alizeti, mchele nk
Mkuu wewe umeshafika hatua ya kuridhika kwa hayo mafanikio uliyoyapa ukizingatia na umeshaoa tayari/umetulia tuliii kama Maji kwenye mtungi [emoji23]... Toka kwenye hiyo Comfort zone pambana kwa ajili ya vikubwa zaidi. Mafanikio huja kwa kuforsi amini na si lelemama.
Lkn kwa hapo ulipofikia kwa average Upo sawa kabisa tena huenda umewazidi na wengine wengi TU
Asante mkuuAchana na wanao kushauri ukasafishe nyota, waganga Wana tabia ya kuteka nyota na kuanza kuiendesha nafs yako , ukienda tu utafanikiwa hata miez 6 alaf baada ya hapo atakutengeneza ili urudi kilingeni ukatoe kafara tena hata Kama ni ya kuku kwakifupi waganga wanaharibu maisha ya watu ndo maana ukienda Mara moja hautaacha kirahisi.
Pambana kwa njia yako ongeza juhudi tu na uache kujilinganisha na watu wengine kwakua wapo ambao wanatamani hata kuwepo hapo ulipo wewe na hawawezi kwa Sasa.
Sawa mkuu ila kingine vua iyo kofia uliyovaa itakusumbuaMkuu kwenye ulevi, uzinzi huko sipo maana Pombe hata kuionja sijawahi. Na uzinzi hapana maana nimeoa. Labda ngoja nijichunguzw katika hayo mengine. Asante.
Kwahiyo nifanyeje mkuu
Kofia gani mkuu?Sawa mkuu ila kingine vua iyo kofia uliyovaa itakusumbua
Asante mkuuUsijilaumu wala kulalamika, afadhali ya ww una kiduka ila kuna wasomi mtaani tunazurura miaka nenda miaka rudi hakuna ata la maana linalofanikiwa, tena afadhali ya ww una mke tayar kwamb nyege na uzinzi havitokusumbua.
Jambo la muhim mkuu weka malengo yako upya na mfanye huyo mkeo muwe na agenda moja ya kuwa na kiu ya mafanikio, huyo mkeo akiwa na kiu ya mafanikio atakuwa na nidhamu ata matumizi nyumbani unayomwachia.
Km una duka la rejareja means unaweza pata dhamana ata ya kukopeshwa ata km sio mtaji lkn ukakopeshwa bidhaa kutoka kwa wholesaler unapochukuaga mafungasho ukazidi kutanua hiyo biashara yako.
Ww hatua ya mwanzo nzuri unayo la muhimu ni kuipenda hyo kazi unayoifanya, na kuhakikisha unasimamia malengo yani ikiwezekana ata uwe na KIBUBU kwamba kwa mwaka hukosi ata milion moja na nusu.
La mwisho jua kuwa wakati wa Mungu ndio wakati sahihi, Mungu ni wetu Sote tuzidi kumuomba Tusichoke ipo cku isiyo na jina mambo yatabadilika.
GENTAMYCINE unatikiwa uwe mi.....Wakuu, jambo likikuchanganya ni bora kushare ili upate mawazo mapya.
Mimi nimehitimu chuo miaka 8 imepita. Kipindi chote cha masomo tangu darasa la kwanza nina rekodi nzuri ya ufaulu na uwezo wa kufanya mambo mbali mbali hasa ya kiubunifu, n.k.
Mara baada ya kuhitimu nilifanikiwa kupata kazi mbali mbali za muda mfupi na za kujitolea pia.
Tatizo sasa baada ya miaka kama minne kazi hizi zote zilikoma, kila napogusa sifanikiwi kupata. Iwe kuajiriwa au kujitolea.
Mpaka imefika hatua najiuliza kimenitokea kitu gani au nina madhaifu gani mimi? Mbona interview siitwi tena?
Haya sasa nilipoona nimekaa mda mrefu bila mwelekeo nikaamua kujichanga kadili nilivyoweza nikaamua kufungua duka dogo la rejareja.
Hili nimekomaa nalo ni mwaka wa 3 sasa. Lakini cha kushangaza sioni matumaini ya kuwa na future iliyo nzuri au bora kutokana na biashara hii.
Kiukweli nikikaa nikatafakari na kuangalia dunia inavyoenda na watu wanavyopambana na kufanikiwa na umri unavyoenda mbio⁴ R3 binafsi najiona kama nina mapungufu.
Najiona kama nina madhaifu, tatizo sijajua haya madhaifu ni katika kufikiri? Ni katika uwezo wa kutafuta connection? Ni madhaifu katika kipi hasa??
Ndugu msomaji, kama umenielewa naomba unisadie kwa mtazamo wako hapo naweza kuwa na madhaifu gani? Kumbuka mchango wako unaweza kuchangia kubadilisha maisha yangu na wewe ukabarikiwa zaidi.
HapanaMtoa mada anaamini katika imani za kishirikina!!![emoji1][emoji1]
Reference:comment zake[emoji125][emoji125][emoji125]
Pole mkuu bora uchuuzi wa Mazao tuuWakuu, jambo likikuchanganya ni bora kushare ili upate mawazo mapya.
Mimi nimehitimu chuo miaka 8 imepita. Kipindi chote cha masomo tangu darasa la kwanza nina rekodi nzuri ya ufaulu na uwezo wa kufanya mambo mbali mbali hasa ya kiubunifu, n.k.
Mara baada ya kuhitimu nilifanikiwa kupata kazi mbali mbali za muda mfupi na za kujitolea pia.
Tatizo sasa baada ya miaka kama minne kazi hizi zote zilikoma, kila napogusa sifanikiwi kupata. Iwe kuajiriwa au kujitolea.
Mpaka imefika hatua najiuliza kimenitokea kitu gani au nina madhaifu gani mimi? Mbona interview siitwi tena?
Haya sasa nilipoona nimekaa mda mrefu bila mwelekeo nikaamua kujichanga kadili nilivyoweza nikaamua kufungua duka dogo la rejareja.
Hili nimekomaa nalo ni mwaka wa 3 sasa. Lakini cha kushangaza sioni matumaini ya kuwa na future iliyo nzuri au bora kutokana na biashara hii.
Kiukweli nikikaa nikatafakari na kuangalia dunia inavyoenda na watu wanavyopambana na kufanikiwa na umri unavyoenda mbio⁴ R3 binafsi najiona kama nina mapungufu.
Najiona kama nina madhaifu, tatizo sijajua haya madhaifu ni katika kufikiri? Ni katika uwezo wa kutafuta connection? Ni madhaifu katika kipi hasa??
Ndugu msomaji, kama umenielewa naomba unisadie kwa mtazamo wako hapo naweza kuwa na madhaifu gani? Kumbuka mchango wako unaweza kuchangia kubadilisha maisha yangu na wewe ukabarikiwa zaidi.
Iyo ya degree sijui diploma angalia mazingira yako kama hayakufahi tafuta pengineKofia gani mkuu?