CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
Ahsante mkuu!Uko sawa mno mzee yaani hayo ndio mapenzi
Mapenzi mkuu!CHAI CHUNGU ama kweli huishiwi na vitu vizuri aisee!
Mkuu sio kumtumia mamangu tuu.dah wanaume wachache wa aina yako,vp siku ukitaka kutuma pesa kijijini kwenu mama yako ana tatizo mke akasema hana itakuaje wakati unajua zipo? ni swali tu mkuu yaani Mungu angenipa type yako sijui ingekuaje ningekua kila jpili natoa shukrani kanisani
Ni kweli mkuu!Wamujini mujini wanasema hayo ndio mahabati
Hahahahahaha!CHAI CHUNGU mkeo anafanya kazi gani??? Mpaka hapo kuna dalili ya hayo yanayosemwa mtaani.
kwa hiyo una uhakika mama'ko ndo anapewa fungu kubwa au unafikiri hvo.pongezi sanaMkuu sio kumtumia mamangu tuu.
Bali ni utaratibu wangu kwamba ktk mshahara wangu kuna fungu la mamangu mzazi na mama mkwe wangu pia ingawa kunatofauti ya kiwango na mamangu anachukua zaidi ya mama mkwe,na my wife ndiye anayetuma kila mwisho wa mwezi!!
Mkuu sio kumtumia mamangu tuu.
Bali ni utaratibu wangu kwamba ktk mshahara wangu kuna fungu la mamangu mzazi na mama mkwe wangu pia ingawa kunatofauti ya kiwango na mamangu anachukua zaidi ya mama mkwe,na my wife ndiye anayetuma kila mwisho wa mwezi!!
Hahahahahaha!
Mkuu,my wife ni mama wa nyumbani tu.
Mkuu,mke wangu ananyonyesha kwa sasa,na isitoshe usiku kucha mtoto anamsumbua!Kama ni hivyo labda uwe unajoke lakini kama ni kweli mkuu badilika wanaume hatuishi hivyo unavyosema wewe. Hebu fikiria rafiko yako anakukuta unamuogesha mwanao wa std 1 halafu mkeo yupo anaangalia TV utaelewekaje???
Najua mapenzi yapo lakini yako yamezidi.
Kwanza arobaini ya witness ni lini, nataka kukusindikiza.
Ni ratiba yangu ya kawaida kabisa asubuhi nafagia uwanja,kisha nachukua mkokoteni nafata maji,kisha namuogesha mtoto wetu anayesoma primary std1 na kisha kumtengea chai na kumpeleka shule then naenda job ambapo sio mbali na nnapoishi.
Nikirudi jioni naenda tizi(football)
Nikitoka tizi napiga bafu kisha nafua nguo za mtoto wetu mdogo wa miezi 8 na baada ya hapo namsaidia wife kupika.
Mshahara wangu yeye ndiye anayeumiliki na kuupangia matumizi na ata nikitaka ya voucher namuomba yeye.
Yote hii ni mahaba na mapenzi kwa mke wangu.
Huu ni utaratibu wangu niliojiwekea,sasa jana kuna maneno nimeyasikia mtaani kwetu eti nimelishwa 'limbwata'kha,kwani mke wangu huyu nilimuoa aje kufagia uwanja?mwenzenu sina uwezo wa kumuwekea house girl that's why nimeamua kuchukua nafasi ya house girl.....sasa jee kufanya hivi ni 'UBWEGE'?
Mbona mm naona ni kawaida tuu?hasa kama kweli unampenda mkeo?