Jeji
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 1,973
- 372
mkuu inakuwaje tena we urudi ndio uanze kupika na kufua wkt yy alikuwepo muda wote tu?Hahahahahaha!
Mkuu,my wife ni mama wa nyumbani tu.

mkuu inakuwaje tena we urudi ndio uanze kupika na kufua wkt yy alikuwepo muda wote tu?
dah wanaume wachache wa aina yako,vp siku ukitaka kutuma pesa kijijini kwenu mama yako ana tatizo mke akasema hana itakuaje wakati unajua zipo? ni swali tu mkuu yaani Mungu angenipa type yako sijui ingekuaje ningekua kila jpili natoa shukrani kanisani

Mkuu ni mahaba tuu!
Mkuu ni mahaba tuu!